Miezi miwili mingi hivyo, nunua leo kwa 22m alafu itangaze baada ya siku 5. Nakwambia hiyo 18m utaitafuta kwa torch kupata mtejaShow room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.
Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo
Kwa gari hii hilo unaloswma siwezi kuktaa kabisa, inawezekana kabizaMiezi miwili mingi hivyo, nunua leo kwa 22m alafu itangaze baada ya siku 5. Nakwambia hiyo 18m utaitafuta kwa torch kupata mteja
Tafuta mitsubishi outlander utakuja kunishukuru ...Kwa ushauri wako mkuu, ukiwa na kama 22M. Bora uchukue gari gani la juu? Maana nlikua naiwazia hii gari.
Binafsi nilikuwa naiwaza outlander lakini nilivyofatilia upatikanaji wake wa spea ni changamoto, labda kadiri siku zinavyoenda huenda zikawepo, maana naona zimeanza kuwa nyingi mjini. Lakini imenivutia sana kusema kweli.Tafuta mitsubishi outlander utakuja kunishukuru ...
Juke iko juu kwa sasa hasa Zanzibar vimejaa kwa wingi sana, lakini mimi siyo muumini sana wa Nissan huwa nina wasiwasi nazo.Juke iko vizuri japo haijafanya vizuri sana sokoni hasa Africa kutokana na shape yake mbaya.
But hizi dualis zmeshaungua mno unashangaa uko tu foleni gari imedaka moto yenyewe tu
Au umetoka kutoa gari yako yard baada ya week inaanza shida ya gear box
Mwanzoni ilikua kiasi gani?Kuna habari gani?
Miezi miwili mingi hivyo, nunua leo kwa 22m alafu itangaze baada ya siku 5. Nakwambia hiyo 18m utaitafuta kwa torch kupata mteja
Umeionea Juke haina shepu mbaya ila hazishuki bei zipo juu mno,sasa shep ya Juke ndio utafananisha na Dualis au Subaru forester???Juke iko vizuri japo haijafanya vizuri sana sokoni hasa Africa kutokana na shape yake mbaya.
But hizi dualis zmeshaungua mno unashangaa uko tu foleni gari imedaka moto yenyewe tu
Au umetoka kutoa gari yako yard baada ya week inaanza shida ya gear box
Kwa muono wang bora ya forester kulko jukeUmeionea Juke haina shepu mbaya ila hazishuki bei zipo juu mno,sasa shep ya Juke ndio utafananisha na Dualis au Subaru forester???
Nasikia aseee shida niniDualis Zina tatizo la kuungua moto
Huenda kutokana na mfumo mbovu wa cooling syestemNasikia aseee shida nini
Kwani Nissan wenyewe wanasemaje? Isijekuwa wabongo ndo tunakoseaCase za Dualis na Moto ni nyingi sana
itakuwa kuna mahali tunakosea…Kwani Nissan wenyewe wanasemaje? Isijekuwa wabongo ndo tunakosea
Kivumbi leoAgiza uone kivumbi
Na wabongo wakishaanza kulishana habari kama hizi ujue ndio kwishaDualis Zina tatizo la kuungua moto
Unakumbuka wakati wa Xtrail zinaingia nazo ilikuwa hivi hivi,ingawa naona zile mpya zake zinafanya vizuri kiasi sokoni...Na wabongo wakishaanza kulishana habari kama hizi ujue ndio kwisha
Nimeshuhudia Kwa macho yako mbili Sasa wataalamu waje kusema huku Tena number hizi mpyaNa wabongo wakishaanza kulishana habari kama hizi ujue ndio kwisha
Akili za kitoyotaShow room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.
Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo