blesssedgirl
Member
- Oct 31, 2014
- 11
- 4
Itakuwa hakuna aliyefaulu usaili
najua hapo presha itakupanda ila poleeee
Mim pia nilifanya interview hyo, nilipigiwa simu kupangiwa kazi Itilima DC nikaulizwa kama niko tayari kwenda au hapana mim Itilima dc hata sijui iko wap........ lkn vilevile niliuliza kuhusu ofisi ya mwanasheria mkuu nikaambiwa wameshapangiwa kazi watu hapo ndo nilichoka na nchi yangu tanzania...wengine wameitwa wazi wazi sie tunaitwa kwa siri.....Habari zenu wanajf.Naomba kuuliza kwa anayejua hili..tulifanya interview tarehe moja mwezi huu pale utumishi,post zilitangazwa na ofisi ya mwanasheria mkuu,kada zingine zote wameitwa kazini ikiwemo state attorney na law secretary ila kada ya system analyst hawajaweka majina.je ndo bado wanaendelea na mchakato au ndo hakuna aliyepita?
Kwani hiyo ambayo watu hawajaitwa zilikua post ngapi?
inavyokua kama ushawah kufanya interview utumishi kwa position flan zikitokea nafac wanawapangia tu