Mbona Jerry Slaa hasikiki siku hizi?

Mbona Jerry Slaa hasikiki siku hizi?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,843
Sijui ni mimi tu ndiyo simsikii!

Alipokuwa Waziri wa Ardhi, ilikuwa ni nadra sana wiki kupita bila habari zake kutamba mtandaoni. Aliimudu sana hiyo Wizara.

Kwa kadiri ya uelewa wangu, yeye ndiye Waziri bora kuwahi kuiongoza hiyo Wizara. Nashangaa kwa nini aliondolewa!

Huu ukimya ni wa kawaida au mimi ndiyo sibahatiki kukutana na habari zake?
 
wizara ya mawasiliano wale ni kupambana na po..rn za kule x ardhi kumechangamka ndo manaa kijana TISS akapelekwa pale
 
slaa imekuwa manati na macho kama chongoro za wahindi wakati wa jioni wakijamba pariki za siku nzima
 
Alikuwa ameanza kusifiwa wakati kwa mfumo wetu anayetakiwa kusifiwa ni mmoja tu
Ila alikuwa ameimudu sana hiyo Wizara.

Kama ningelikuwa bosi wake, nisingethubutu kumhamisha mchapakazi kama yule!
 
Sijui ni mimi tu ndiyo simsikii!

Alipokuwa Waziri wa Ardhi, ilikuwa ni nadra sana wiki kupita bila habari zake kutamba mtandaoni. Aliimudu sana hiyo Wizara.

Kwa kadiri ya uelewa wangu, yeye ndiye Waziri bora kuwahi kuiongoza hiyo Wizara. Nashangaa kwa nini aliondolewa!

Huu ukimya ni wa kawaida au mimi ndiyo sibahatiki kukutana na habari zake?
mbona kasikika juzi tu akipiga pini x

cha ajabu Sa100 amezuia X watanzania ila yeye anaitumia
 
Back
Top Bottom