Nilikuwa naitegemea hii link Matokeo kwa minutes to minutes updates za matokeo TZ lakini sasa iko idle. Vipi nini kinaendelea au kuna sehemu nyingine mbadala? Nilipitiwa na usingizi ndio nimeamka sasa napenda kujua kinachoendelea. Please msaada.
Mhuu-u-u! Au kuna ka-virus kameisimamisha. Hivi mbona matokeo mengine ambayo watu mbalimbali wameshayaandika humu JF, bado hayaonekani kwenye link hiyo? :yield:
Please, bring the service back online.