Mbona humu ni mapenzi tu!

Msimlaumu sana huyu kijana ni mbinu tu amebadilisha. Alianza kutafuta mpenzi amekosa sasa kaja na gear ya rafiki nadhani akishindwa na mbinu hii mpya atakuja na mbinu ya nafasi za kazi kwa wadada.
 
Msimlaumu sana huyu kijana ni mbinu tu amebadilisha. Alianza kutafuta mpenzi amekosa sasa kaja na gear ya rafiki nadhani akishindwa na mbinu hii mpya atakuja na mbinu ya nafasi za kazi kwa wadada.

Haha haaaaa...wacha tusubir kifuatacho
 
Love Connect ni sub forum iliyopo ndani ya MMU na huko ndio watu wenye uhitaji wa urafiki huweka mabandiko yao...

Sasa sijui weye mleta mada unalalama kwa kutojua muundo wa MMU au kwa sababu debe tupu huwa halikosi mlio...!!!
 
Division five hii jmn ,msimlaumu sana

Umempendelea mkuu kwa kumpa dibision 5. Mwenyewe kasema anasifa kama mandela (kibabu), so lazima atakua ni kihana wa zamani alieishia la nne.
 
Bila mapenzi ungezaliwa?
 
Una maana wewe ni marehemu
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaah jmani jeiefu haiishi vituko. Unajua umenifanya nirudie tena kuusoma uzi kwa makini hahahahahahahahaha jamani umenichekesha sana.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaah jmani jeiefu haiishi vituko. Unajua umenifanya nirudie tena kuusoma uzi kwa makini hahahahahahahahaha jamani umenichekesha sana.

hujamwamsha bwana nanii!! angalia wewe!
 
duuuu edit post yako aisee....sidhani kama kuna mtu anataka rafiki ambaye ni marehemu
 
Mbona wewe umeweka kichwa cha habari chenye neno "mapenzi" . Ungekuwa na wazo mbadala ungeliandika.
 
Haaa kwa hiyo wewe ni wa wake watatu ama?
 
Na ww kimekuleta nini hapa kama sio mapenzi.mapenzi yana run dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…