usiambini
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 627
- 558
Wapi yepotea ile semi maarufu "Hapa kazi tu" ilotanda karibu vitongoji na miji yote ya Tanzania? .Yetanda kwa mbwembe na Haiba ya wasemaji?
Tumebweteka?
Haiendani na Hali halisi?
Madereva walichengi gear?
Au ni mkumbo wa "Wembe ni ule ule" "Wembe kuliko ule" "Nguvu mpya ari mpya kasi mpya" "Maisha mazuri kwa kila mTanzania"?
sasa tusibweteke Raisi wetu ana nia na dhamira njema.
Kutumbuliwa kwa rafiki yako isiwe sababu ya kupoteza nguvu ya hii semi.
Wala kutopata fedha za kumpangishia kimada isukufanye kusimamisha ziara za kushtukiza go front fight for us