Mbona hamuulizi mkoa wenye wanaume wazuri zaidi!!??

Hahahaha umenikumbusha mbali sana tulikuwa na shamba pale Kiwangwa na jirani yetu alikuwa mama wa kimanyema c mnawajua wanawake wa kabila hili walivyokuwa na migongo mikubwa bac wasukuma ndio waliokuwa wakitoa huduma ya kulima mashamba basi huyu mama alikuwa anakaa mbele yao ktk kiti na kuwaonesha K na kuwaambia wa kwanza kufika hapa nilipokaa nampa mambo,bac walikuwa wakilima kwa juhudi ili mradi wawahi kumchakachua huyu bibie.Inawezekana na yeye aliwapenda kwenye majamboz kama unavyowapenda ww Shantel,samahani naomba kuuliza wewe chotara?
 
wenyewe si mnaniona hapo nlivo sharo baroooo,teh teh,mzee wa katavi anajua,kona kali,husninyo,bi mkubwa na wengine kibao wanakubali mzik
 
MWANAUME MZURI NI...,

1-ANAYEJUA KUTUMIA VIZURI MASHINE YAKE, ( manake kila mwanaume anayo ila tatizo ni matumizi yake)

2- ANAYEJUA KUTAFUTA PESA,

3-ANAYEJITAMBUA *****

4-ANAYEJUA WAJIBU WAKE KWA MWANAMKE NA JAMII YAKE.

5- ANAYEAMINI KAMA KUNA MUNGU

HAIJALISHI KAMA NI MFUPI AU MREFU, MWEUPE/MWEUSI, AU ANATOKA MKOA GANI.
 

huyo mama hata mimi ningelima..

kiwangwa ipo wapi?

hii ni kali mno???????????
 
dah mie sijui kuhusu mkoa
lakini wanaume wa Tanzania wanavutia sana ..
sijui kwa nini tu ..

halafu wote wana accent fulani hivi ..
mwanaume hatumii marashi
lakini ananukia fresh..
mwanaume haendi gym lakini tayari anaule mwili..
ndo maana watoto waki TZ wako fresh ajili ya
DNA nzuri ..
mmmhhhhhh

kweli ntapata shida ku date mwanaume wa nchi nyingine...

 
Jumla jumla kama njugu sokoni sio nzuri wewe penda wa kwako viishe mambo ya kuchanganya changanya si mazuri
 
sura/masharobaro au mnamaanisha nini? Mashoga wapaka poda? Wenye pesa ,, wasomi , wachapa kazi, wakulima( wasukuma) or wapiga gahawa ? Au wala tigo?

hahaaa Ivuga you made my day...nimecheka vibaya sana...masharobaro??? hahaaaaa
 
wenyewe si mnaniona hapo nlivo sharo baroooo,teh teh,mzee wa katavi anajua,kona kali,husninyo,bi mkubwa na wengine kibao wanakubali mzik


hahaaaaaa ....sumbawanga mpango mzima ...nimekubali hata mimi
 
leo wanaume wamepatikana hawataki kujibu bali wanazunguka tu.

Personally sijawai kuanalyize hii issue ya mkoa wa vidume wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…