Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Kitendo cha kumgalagaza Mwigulu na matisho ya Mwenyekiti wao kwa Wabunge na hatua anazotaka zichukuliwe kwa walo fanya ufisadi wa Lugumi, magari ya Polisi, NIDA nk nk mbona imeleta taharuki sio mitandaoni tuu hata mitaani kwa wapiga debe wa CCM kutulia kama wana malaria?
Pia kitendo cha kada wao Zakaria kuwatwanga risasi wasiojulikana kisha wakajulikana na kuleta taharuki kati ya uongozi wa CCM mkoa wa Mara na Tarime huku wakibishana na viongozi wa serikali kimeonyesha kufanya utetezi maandazi kwisha nguvu?
Au ndio zile njozi za kuwa chinja chinja wa hili dubwasha atatokea ndani mwao ili wa nje wasipate dhambi ya kuua chama hiki kilichokuwa cha ukombozi?