Kutokana na mission ya Freebasics ilivyo ni kuwasaidia watu wengi hasa wa vijijini wanaotumia simu ku access internet.Eti wakuu hapo itakua shida ni nini?, maana kila ninapojaribu kuaccess free basic kupitia PC huwa inazingua,
Yaani sipati hizo huduma za Freebasic.
Install android emulator kwenye PC utaweza kutumia freebasicsEti wakuu hapo itakua shida ni nini?, maana kila ninapojaribu kuaccess free basic kupitia PC huwa inazingua,
Yaani sipati hizo huduma za Freebasic.
Sababu imetolewa hapo juuEti wakuu hapo itakua shida ni nini?, maana kila ninapojaribu kuaccess free basic kupitia PC huwa inazingua,
Yaani sipati hizo huduma za Freebasic.
Hapo kwenye kusearch ni namna gani sasa mkuu?Sababu imetolewa hapo juu
Ila kitaalamu freebasics inasoma user agent kujua kama wewe unatumia simu ama pc
Ingia store ya browser yako Kisha search user agent switcher Kisha pakua moja Kisha badili user agent kwenda browser yoyote ya simu. Mfano safari iPhone 4,
Hapo ukitembelea free basics watakuona kama una simu na sio computer.
Unatumia browser gani?Hapo kwenye kusearch ni namna gani sasa mkuu?
FirefoxUnatumia browser gani?
Firefox
Naomba ya google chrome![]()
User-Agent Switcher – Get this Extension for 🦊 Firefox (en-US)
Download User-Agent Switcher for Firefox. Easily override the browser’s User-Agent stringaddons.mozilla.org
Download hio
Naomba ya google chrome
nina swali kwako unatumia app gani kuingia nayo whatsup kwenye pc mimi nimefuta bluestack coz inafanya mashine iwe nzitooEti wakuu hapo itakua shida ni nini?, maana kila ninapojaribu kuaccess free basic kupitia PC huwa inazingua,
Yaani sipati hizo huduma za Freebasic.