Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,707
- 1,729
Umeme ni muhimu kila mtu anafahamu ila nasangaa kwa nini China wanapewa uwekezaji pahala pengine na kuacha kuwekeza/kuisaidia miundo mbinu ya TANESCO. Sijui katika hii miradi 16 iliyowekwa saini hivi karibuni na marais wetu kama hilo limo maana tunaambiwa tu kimoja cha ujenzi wa bandari kubwa hapo Bagamoyo. Kama hakuna ndio kusema matatizo ya umeme nchini mwetu ni ya MEZANI kweli kama waziri na naibu wake wa nishiti walivotueleza.