Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Wadau kuna Matangazo ya kazi Mengi kutoka Idara za serikali kama Ewura na idara za maji tunatuma maombi lakini awatuiti kwenye usaili yani awatoi majina ya kwenda kufanya usaili kuna nini ?
Tunashughulikia sembe kwanzaWadau kuna Matangazo ya kazi Mengi kutoka Idara za serikali kama Ewura na idara za maji tunatuma maombi lakini awatuiti kwenye usaili yani awatoi majina ya kwenda kufanya usaili kuna nini ?
sio sababu lazima watoe hadharaniWaliokidhi vigezo ndio wanaitwa ndio mana kuna email namba za simu wanapeleka so inawezekana wenzako washaanza kazi mkuu
Basi endelea kusubiria mkuusio sababu lazima watoe hadharani
MlungulaWaliokidhi vigezo