Huyo jamaa aache kutisha watu, bima ni 50400. Na huduma zinapatikana kwa haraka. Pampas 15000. Asijifanye yeye ndo anajua kulea kuliko wengine. Wengine waendelee kumkosoa aache vitisho.