Mbolea ya kinyesi cha kuku - ipo inauzwa

Mbolea ya kinyesi cha kuku - ipo inauzwa

C.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
394
Reaction score
166
Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi ya kilo hamsini hamsini... Bei ni elfu tatu (3,000/=) kwa kiroba/mfuko. Niko maeneo ya Changanyikeni/Ubungo. KARIBUNI..!!
 
Kwa anayehitaji mbolea ya kinyesi cha kuku kutoka banda la kuku anicheki... Ipo mifuko takribani kumi ya kilo hamsini hamsini... Niko maeneo ya Changanyikeni/Ubungo. KARIBUNI..!!


tuje kuchukua tu mkuu ama unauza ?? naona hakuna bei ,
 
Back
Top Bottom