Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
wahafidhina wanaweweseka kweli kweli hivi sasa.
Rangimoto kumbe uko Act? Sa mbona ni kama pro-cdm watupu?
Unajua nilikuwa napata shida sana kutofautisha kati ya Rangimoto na njano5 kumbe ni mwanamke mmoja anaemiliki wanaume wawili,kama ni hivyo basi kazi tunayo.Jinsi ulivyo tayari unaonekana ni ndumila kuwili unaewashwa na Dr.Slaa,na muda si mrefu atakupiga mimba.Walipoona mbogo ni mkali sana na mtata sana wakaamua kujiita Mbogo, walipoona simba amekuwa mfalme wa nyikani na mbabe kwa akina mbogo, wakaamua kujiita Simba, haya sasa ACT imekuja kama tufani iliyopandwa na upepo wa kihafidhina, je, hawa watu watajiita ACT?
Pamoja na hayo, hivi kwa umakini, umahiri na uhodari wa Dr. Wilbroad Slaa laiti angepata fursa aliyokuwa kaiomba CCM angekuwa waziri mzigo sasa? HAPANA, asingekuwa mzigo, iweje sasa hawa wengine watabiriwe kuwa hivyo ikiwa ndio kwanza safari imeanza? Muda ndio kila kitu, na mwenye kushua chombo lazima aseme na pepo kwanza.
TAIFA KWANZA, CHAMA BAADAE.
Njano5.
0784845394.
Isingekuwa kuna haja ya nyie kuanzisha chama kama MNAJALI UTAIFA..Mbona Mwigamba mnaweweseka?Walipoona mbogo ni mkali sana na mtata sana wakaamua kujiita Mbogo, walipoona simba amekuwa mfalme wa nyikani na mbabe kwa akina mbogo, wakaamua kujiita Simba, haya sasa ACT imekuja kama tufani iliyopandwa na upepo wa kihafidhina, je, hawa watu watajiita ACT?
Pamoja na hayo, hivi kwa umakini, umahiri na uhodari wa Dr. Wilbroad Slaa laiti angepata fursa aliyokuwa kaiomba CCM angekuwa waziri mzigo sasa? HAPANA, asingekuwa mzigo, iweje sasa hawa wengine watabiriwe kuwa hivyo ikiwa ndio kwanza safari imeanza? Muda ndio kila kitu, na mwenye kushua chombo lazima aseme na pepo kwanza.
TAIFA KWANZA, CHAMA BAADAE.
Njano5.
0784845394.
hahahahhaaaa umewamaliza kabisaaaaaaaaaaa tena naskia kiongozi wao mmoja ni kiongozi wa chama kingine!!!!ACT = Alliance for Coward and Traitors
hahahahhaaaa umewamaliza kabisaaaaaaaaaaa tena naskia kiongozi wao mmoja ni kiongozi wa chama kingine!!!!
MANI njoo nitajie jina layule mshkaji mwenye kuongoza vyama viwili
Ok Ok Lucas Kadawi Limbu ni mwenyekiti wa ADC na sasa ni mwenyekiti wa ACT!!!!! kwa wakati mmoja. Kazi ipo kweli kweli
ACT NI DIRA ya MABADILIKO. TUIUNGE MKONO
TAIFA KWANZA, CHAMA BAADAE.
Njano5.
0784845394.