Mboga gani hii?

mwanangu hii ni janja weed...ule na ungali wa mhogo alafu hii ni kushabu mbaya ukila lazima kichwa kiume sana sana ya morogoro,au kampla kuna sehemu inaitwa nabutiti kwa mlongo au uncle ndo inapatikana hii kushabu

dah,
nimekubali mwanangu B'REAL umetambaa mule mule yaan! Hii kitu Jawilat akionja lazima anene kwa lugha!
 
Last edited by a moderator:
dah,
nimekubali mwanangu B'REAL umetambaa mule mule yaan! Hii kitu Jawilat akionja lazima anene kwa lugha!
mkuu hii kitu nianza kula nikiwa standard five pale themi river kipindi hicho kulikuwa kama sio mlaa mawida hupiti mtoni...kuna palce moja mabombanii....we acha,tukawa tunakimbizwa na pilisi tukaamia sanawari we acha tulikuwa manyoka hatari...hadi leo ni father ila nachoma kwa style
 
itakua mboga ya ina yake hiyo..sijawahi kuila au kuiona
 
Hii mboga inapatikana sana tarime,arachuga bila kusahau pande zile za jamaika,uzuri wa mboga hii hujenga kujiamini na samtaimu kufanya maamuzi yasiokubarika na jamii
 
Mboga majani ya bhangi

Ugali unga wa cocaine

Maji gongo la mama muuza wa Kyabakari.
 

duuh kweli mkuu we Ordinare!
 
Hii mboga inapatikana sana tarime,arachuga bila kusahau pande zile za jamaika,uzuri wa mboga hii hujenga kujiamini na samtaimu kufanya maamuzi yasiokubarika na jamii

ni,kwerli kabisa mkuu. mboga kiboko hii
 
Hahaa halafu haujui tu hii mboga nikila nakuwa mpole sana busara zinaongezeka mara dufu yaani nakuwa very wise,
dah,
nimekubali mwanangu B'REAL umetambaa mule mule yaan! Hii kitu Jawilat akionja lazima anene kwa lugha!
 
Last edited by a moderator:
Naogopa na kuhisi kama tulikua pamoja aisee...basi tu watu wanaichukulia tofauti hii kitu inanibariki sana,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…