mbivu na mbichi... @mchumiapesa

Hii thread ina page mbili tu mpaka sasa?!
 
Duuh uzi ule ulileta msisimko sana, all in all mwanamume ndio kachemka maana kaleta uzi alafu baadae anakuja na story wameelewana
 
Niliposoma ile thread mwanzo sikuelewa baada ya kuona screen shots za strong woman sio Siri nikabaki najiuliza mbona huyu dada aliyataka mwenyewe kwa maana jua ameshantengenezea jamaa mazingira kua if kazi yes bas atampaa zawadi halaf anasema mchumba WA mtu ndo anabehave kama nini sjui all I can see from her she is very cheap na nachoona kwa wotee wanamakosaa na hatua stahiki zichukuliwr ili iwe fundisho next time wajifunze kubehave kama watu wazma private Ni private sio kuweka public kuvuana nguo hadharani
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana hayo mawasiliano yao. Ila jamaa alichemka sana kuleta hapa hili jambo. Kukataliwa ni kawaida
 
This issue is very boring. PRIVATE maana yake binafsi. Sasa kutoka PM kuleta huku ili iweje? Highest level of stupidity.
 
katika mtiririko wa hayo mawasiliano, nimejikuta nawahurumia sana dada zetu, inaonekana asilimia kubwa wanapata kazi kwa mtindo huu. Jamani wanaume tuwe na huruma kwa dada zetu.
 
This issue is very boring. PRIVATE maana yake binafsi. Sasa kutoka PM kuleta huku ili iweje? Highest level of stupidity.

Inaonekana mwanaume ndo haelewi maana ya private na alizidiwa SI unajua tens mfa maji haish kutapatapa ati bi dada na yy akaona aombe ushaur kwa afande inahusu nini iweje mambo ya kumaliza mwenyewe unashirikisha watu na alishakubali kua mpenzi WA jamaa sasa analalama nini
 
katika mtiririko wa hayo mawasiliano, nimejikuta nawahurumia sana dada zetu, inaonekana asilimia kubwa wanapata kazi kwa mtindo huu. Jamani wanaume tuwe na huruma kwa dada zetu.

My dear sometimes inabidi tuseme na shida zetu bwana unakubaliaje kuvuliwa chupi kitu hulijui huna hata hisia nae just for the sake of job aiii haiingii akilin hata kidogo Ni ujinga kukubali kujuvua utu Wako msimamo Tu ndo Una matter sana
 
Kweli kabisa. Halafu yule dada alionekana kulainika katika majibu yake, na hicho kikamfanya jamaa azidi kukaza kamba. Kama siyo hitilafu ya kitu fulani, inaonekana wangebanduana. Msimamo muhimu sana. Vinginevyo ni majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…