Mbio za Mwenge na Kauli ya Mustapha Mkullo!

LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,263
530
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustapha Mkullo alidai kwamba Serikali bado iko fit kifedha, hata hivyo nasikia kuwa mbio za mwenge zimeahirishwa hadi mwezi Oktoba badala ya mwezi Juni, 2011 na utakimbizwa kwa mikoa michache kwa sababu ya ukosefu wa fedha!

Hapa Mkullo itabidi akafanye homework yake vizuri, asitoe majibu rahisi kwa maswali magumu! Mficha maradhi, kifo kitamuumbua!
 
Back
Top Bottom