Mbio kwenye misafara ya viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbio kwenye misafara ya viongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mulama, May 8, 2011.

 1. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Ndugu wana jf nimeona niwasilishe swali hili kwenu, ni jambo la kawaida kuona viongozi wetu wa ngazi yakitaifa wanapopita barabarani huwa wanapita na vingÂ’ola na misafara inayokimbizwa si chini ya spidi mia kama sikosei. Swali ni je katika nchi kama yetu ambayo tunajivunia amani na utulivu kuna haja ya kiongozi kukimbizwa kama vile anaweza kudhuliwa akiendeshwa taratibu?
  Je kwa mbio hizi wanaweza kuona hali halisi ya watanzania ombaomba, barabara mbovu na matatizo mengine kama vile kukaa kwenye foleni za magari ili wajue ni jinsi gani daladala zilivyo mbovu na zinajaza abilia kuliko uwezo wake?
  Nawasilisha.
   
 2. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siyo viongozi hao wanaokimbizwa ni Wezi,Majangili,Mafisadi,Wabaka Uchumi
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wana wahi ku sign mikataba,kwanini wachelewe kwenye foleni?
  kesho watakua wana sign mkataba wa umeme tena,wapishe tu bana usije
  gongwa bure afu wakakupa "pole" tu
   
 4. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nadhini kwa sababu ya usalama ndio wanatembea kwa mwendokasi hivyo, sababu nyingine ni kuwa wanatakiwa kwenda na ratiba hivyo wanawahi maeneo wanayoenda
   
 5. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Usalama gani?! nchi hii viongozi wetu wanatuhubiria amani na utulivu tena ulio dumu kwa miaka mingi sasa wanakimbia ili kukwepa hatari gani?
   
 6. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  ndugu viongozi wa kitaifa nchi yyte duniani ni lazima wasafishiwe barabara na wakisema waende kwa mwendo wa taratibu watatusabibishia usumbufu sisi ambao magari yetu yamezuiwa ili wao wapite.kwa hiyo bora waende kwa haraka ili na sisi tupite.
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa mtindo huu watajua kweli shida ya foleni za mjini wakati wenyewe wakitaka kusafiri wanaona njia ikiwa nyeupe? Ah, bora kwa Mungiu hakuna hizi priority!
   
 8. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wapumbafu tu hao kwani hiyo ratiba wanayoiwahi huwa wamekurupushwa si wanakuwa wanaijua hata mwezi mzima kabla?
   
Loading...