Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Rejea Zito Kabwe kwamba kajificha kwa kuwa Askari wetu wanamsaka akaja kuibukia kwa Wazungu Ulaya anapiga selfie, karudi TZ kagoma kutoka Bungeni eti anaogoga kukamatwa na Askari wetu, Tundu Lisu naye Serikali yetu imemuuwa Saanane na kumzika Ruvu akatoa mpaka Simu aliyodai ni uthibitisho mpaka leo hii kimya hapo hapo ndiyo Kiongozi wa Bodi ya Wanasheria!
Mambo ni yale yale, mbinu za kijinga zile zile, so sad, stupid people, really stupid badala ya kujenga Chama na nchi wamekalia Uongo, Fitina na Dhuluma haya mambo hayajawahi kushinda popote pale Dunia hii, kwani mwisho wa siku Wananchi watajiuliza Je wa unafuu wa maisha au laa? Sasa hivi vijiji vinawekewa Umeme, kero ya foleni inashughulikiwa, kero ya Maji inapungua haya ndiyo mambo yatakayoamua na siyo Uongo, Unafiki na Dhuluma ya akina Zito Kabwe, Tundu, Nape & Co. sana sana huwarudia wao wenyewe ...