Ebwana, taarifa niliyo nayo hawezi kufanya kazi Dodoma. Sababu moja yeye ana mitambo inayochimba kwa technologia ya mud rotter huko Dom wanahitaji Hammer (njia ya kupiga na kupuliza upepo miamba). Njia anayotumia yeye inafaa mazingira ya ukanda huu wa Pwani usio na miamba.