Mbinu za uizi wa kura

Mawakala kuweni na mawasiliana chanya bila kujali itikadi ya mpiga kura. Wapeni wapiga kura taarifa sahihi. Wapiga kura msisikilize taarifa za mitaani.
 
Chonde chonde, matazania usikubali kutumika katika mbinu hizi chafu. Wapenda haki hapa ni ulinzi shirikishi bila kujali anayefanya mambo haya ni nani.
 
Back
Top Bottom