Mbinu za kutumia Iphone 5s & 5c

Mbinu za kutumia Iphone 5s & 5c

Ukitaka kuifaidi uzuri zaidi jailbrake hii makitu upate raha za iphone 5s

Baada ya lujiuliza sana hatimaye jumamosi iliopita nika jailbrake kwa pangu tool sasa nafaidi zaidi kwa kukupwa ukiritimba na vikwazo vya ios kwa watumiaji
Faida
BiteSms napata hadi delivery report
Brige nascan downloded media na kuziingiza kwenye stock music or video
Nafanya uhariri kuamua kitu gani nikiweke kwenye Control center
Safari downloader manager inakuwezesha kudownload chochote kwa safari browser
Tweak ya kucheat iphone kudownload kwa 3g badala ya wifi only
Mambo kibao tu

Hii Kitu inafanyikaje mkuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom