tovuti
Senior Member
- Oct 29, 2009
- 160
- 12
Mimi sijui kabisa kutongoza wanawake wa maofisini, nimezoea sana kuchukua hawa madada poa...
Kuna watu hapa mjini ni mission town tu, lakini kila siku wanawamega wa maofisini...
Kwa mfano jana nilienda ofisi moja nikakutana na dada mmoja ana mattako mazuri yakanivutia, nikazuga kumuomba
namba yake ya simu anipe kwa sababu nilihitaji huduma hapo ofisini kwao, na yeye akanipa...
Nilipofika nyumbani nikawa sijui nianze vipi ili niweze kumnasa, nikataka nimuulize utataka shilingi ngapi nikupe lakini
nikaogopa, nikaona bora nimuulize kwa sms kama anatumia mtandao wa facebook au tweeter anipe id yake niweze
kumuadd, akanijibu kuwa hatumii mtandao wa aina yoyote.......nikashindwa hata kumuuliza tena
Nawaombeni jamani mnipe mbinu za kutongoza