Kwenye namba 8 ndo kasheshe ilipo hasa Kwenye fegi apoHabari za Jioni Mabro
Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake
Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu kulipwa kwa mwezi hasa hasa kwa hapa Dar es salaam ambayo vitu vingi gharama zake ni nafuu sana
Kuna kiwanda fulani nilikuwa nafanya kazi kipindi hiko baada ya kumaliza form four sasa kuna mtu nilipangiwa nae kufanya kazi pamoja alikuwa ni mtu mzima sana na katika stori za hapa na pale alinambia yeye anaishi na mkewe na wana mtoto mmoja anasoma shule ya msingi
Na sehemu tuliyokuwa tunafanya kazi tulikuwa tunalipwa 5000 kwa siku na mshkaji anasema hiyo hiyo anasurvive vizurii tu na familia yake, analipa kodi ya chumba,mtoto anaenda shule na wanakula vizuri tu halaf mi kipindi hiko chalii nilirudi mtaani tu mshiko umeisha tayari kesho naamsha tena
Nikajua shida sio posho/mshahara kuwa mdogo tatizo ni matumizi yako binafsi watu wengi duniani hatuna utamaduni wa kusave pesa na watu wengi pia tunafanya matumizi yasiyo ya lazima kwa kiwango kikubwa sana
Matumizi yasiyo ya lazima hayaepukiki ila yanaweza kupunguzika kabisa
Tujijengee tabia ya kusave for the future na zifuatazo ni namna ambavyo mtu unaweza kusave pesa yako
1.Usifanye maamuzi ya kihisia kuhusu masuala ya pesa
2.Usifanye manunuzi ukiwa na njaa
3.Epuka vyakula visivyo na afya
4.Soma vitabu kuhusu usimamizi wa fedha
5.Usinunue nguo zisizo za lazima
6.Omba punguzo kila unapoenda kununua bidhaa fulani
7.Anza kuandika matumizi yote
8.Usibet,usivute sigara,usinywe pombe
Mbinu nyingine wajuvi mtaongezea
It's me Foffana
"Tunapoishi Giza kali hata mungu haji"
Shukrani sana MkuuNaongezea
9.lipa madeni yote Kama unadaiwa
10.Usijibebeshe Majukumu yanayokuumiza kwa mtu ambae hujamuoa
11.Punguza kula mgahawani pika mwenyewe chakula chako
12.Nunua Vyakula visivoharibika kwa Bei ya jumla Mfano mchele,mahindi,mafuta nk
13.Usiishi kwa mashindano Mfano kuvaa kila fashion
14.Punguza matumizi ya Bando na vifurushi kwa kununua vifurushi vya mwezi kwa kutumia pocket WIFi
15.Ongeza Part time job ukiipata
16.Mwisho Heshimuu kipato chako
Pamoja mkuu kwa Nguvu,Akili,na juhudi zote tupambane kujitoa kwenye vivuli vya UmaskiniShukrani sana Mkuu
Ubarikiwe sana, yote uliyoyaeleza hapa ni mambo ya msingi sana.Naongezea
9.lipa madeni yote Kama unadaiwa
10.Usijibebeshe Majukumu yanayokuumiza kwa mtu ambae hujamuoa
11.Punguza kula mgahawani pika mwenyewe chakula chako
12.Nunua Vyakula visivoharibika kwa Bei ya jumla Mfano mchele,mahindi,mafuta nk
13.Usiishi kwa mashindano Mfano kuvaa kila fashion
14.Punguza matumizi ya Bando na vifurushi kwa kununua vifurushi vya mwezi kwa kutumia pocket WIFi
15.Ongeza Part time job ukiipata
16.Mwisho Heshimuu kipato chako
Usibet, usihonge, usinywe pombe, usivute sigara. Yani maana yake niache kuishi, NIJIFIE TU.Habari za Jioni Mabro
Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake
Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu kulipwa kwa mwezi hasa hasa kwa hapa Dar es salaam ambayo vitu vingi gharama zake ni nafuu sana
Kuna kiwanda fulani nilikuwa nafanya kazi kipindi hiko baada ya kumaliza form four sasa kuna mtu nilipangiwa nae kufanya kazi pamoja alikuwa ni mtu mzima sana na katika stori za hapa na pale alinambia yeye anaishi na mkewe na wana mtoto mmoja anasoma shule ya msingi
Na sehemu tuliyokuwa tunafanya kazi tulikuwa tunalipwa 5000 kwa siku na mshkaji anasema hiyo hiyo anasurvive vizurii tu na familia yake, analipa kodi ya chumba,mtoto anaenda shule na wanakula vizuri tu halaf mi kipindi hiko chalii nilirudi mtaani tu mshiko umeisha tayari kesho naamsha tena
Nikajua shida sio posho/mshahara kuwa mdogo tatizo ni matumizi yako binafsi watu wengi duniani hatuna utamaduni wa kusave pesa na watu wengi pia tunafanya matumizi yasiyo ya lazima kwa kiwango kikubwa sana
Matumizi yasiyo ya lazima hayaepukiki ila yanaweza kupunguzika kabisa
Tujijengee tabia ya kusave for the future na zifuatazo ni namna ambavyo mtu unaweza kusave pesa yako
1.Usifanye maamuzi ya kihisia kuhusu masuala ya pesa
2.Usifanye manunuzi ukiwa na njaa
3.Epuka vyakula visivyo na afya
4.Soma vitabu kuhusu usimamizi wa fedha
5.Usinunue nguo zisizo za lazima
6.Omba punguzo kila unapoenda kununua bidhaa fulani
7.Anza kuandika matumizi yote
8.Usibet,usivute sigara,usinywe pombe
Mbinu nyingine wajuvi mtaongezea
It's me Foffana
"Tunapoishi Giza kali hata mungu haji"
Sasa kuna maana gani yakuishi tena bila hivyo vitu, ndo vinatufanya tutafute hela.Nani aliyeacha kubet,pombe,sigara akafa mkuu😅😅
Nidhamu ya pesa
Nimenukuu hii ni ngumu ila ni nzuri na inatija ukiizingatiaNaongezea
9.lipa madeni yote Kama unadaiwa
10.Usijibebeshe Majukumu yanayokuumiza kwa mtu ambae hujamuoa
11.Punguza kula mgahawani pika mwenyewe chakula chako
12.Nunua Vyakula visivoharibika kwa Bei ya jumla Mfano mchele,mahindi,mafuta nk
13.Usiishi kwa mashindano Mfano kuvaa kila fashion
14.Punguza matumizi ya Bando na vifurushi kwa kununua vifurushi vya mwezi kwa kutumia pocket WIFi
15.Ongeza Part time job ukiipata
16.Mwisho Heshimuu kipato chako
Mimi njia nyepesi ninayoitumia ku save pesa yangu ni kuhakikisha siishiki mkononi mwangu au kuiweka mfukoni mwangu au kwenye M pesa yangu au akaunti yangu ya benki. Hapo inakuwa salama zaidi ya Rais anavylondwa!Habari za Jioni Mabro
Kuna watu naona wanalalamika kuwa 300K ni mshahara mdogo sana hauwezi kukidhi mahitaji ya mtu na familia yake
Ila kiuhalisia kabisa hiyo pesa ni nyingi sana sana kwa mtu kulipwa kwa mwezi hasa hasa kwa hapa Dar es salaam ambayo vitu vingi gharama zake ni nafuu sana
Kuna kiwanda fulani nilikuwa nafanya kazi kipindi hiko baada ya kumaliza form four sasa kuna mtu nilipangiwa nae kufanya kazi pamoja alikuwa ni mtu mzima sana na katika stori za hapa na pale alinambia yeye anaishi na mkewe na wana mtoto mmoja anasoma shule ya msingi
Na sehemu tuliyokuwa tunafanya kazi tulikuwa tunalipwa 5000 kwa siku na mshkaji anasema hiyo hiyo anasurvive vizurii tu na familia yake, analipa kodi ya chumba,mtoto anaenda shule na wanakula vizuri tu halaf mi kipindi hiko chalii nilirudi mtaani tu mshiko umeisha tayari kesho naamsha tena
Nikajua shida sio posho/mshahara kuwa mdogo tatizo ni matumizi yako binafsi watu wengi duniani hatuna utamaduni wa kusave pesa na watu wengi pia tunafanya matumizi yasiyo ya lazima kwa kiwango kikubwa sana
Matumizi yasiyo ya lazima hayaepukiki ila yanaweza kupunguzika kabisa
Tujijengee tabia ya kusave for the future na zifuatazo ni namna ambavyo mtu unaweza kusave pesa yako
1.Usifanye maamuzi ya kihisia kuhusu masuala ya pesa
2.Usifanye manunuzi ukiwa na njaa
3.Epuka vyakula visivyo na afya
4.Soma vitabu kuhusu usimamizi wa fedha
5.Usinunue nguo zisizo za lazima
6.Omba punguzo kila unapoenda kununua bidhaa fulani
7.Anza kuandika matumizi yote
8.Usibet,usivute sigara,usinywe pombe
Mbinu nyingine wajuvi mtaongezea
It's me Foffana
"Tunapoishi Giza kali hata mungu haji"
Unaiweka wapi kwenye usalama hukoMimi njia nyepesi ninayoitumia ku save pesa yangu ni kuhakikisha siishiki mkononi mwangu au kuiweka mfukoni mwangu au kwenye M pesa yangu au akaunti yangu ya benki. Hapo inakuwa salama zaidi ya Rais anavylondwa!