Mbinu za kupata mke au mume

ni kweli,na msingi mkubwa wa tofauti zetu ni utamaduni
 
ni kweli kabisa,mimi ni product ya tamaduni 2 moja ya kijerumani na ya 2 kinyamwezi,nayajua uliyosema vizuri sana
 
Daah ndo nipo kwenye msoto huu, na nina hofu juu dada zetu maana wao wanawaza pesa tu ,kuumpata aliye tayali kwaajiri ya kujenga familiar ni mtihani kweli ,eeh MUNGU niongozee mja wako
ni mtihani kweli ila wapo
 
To be honest mie naona hapo kama umewapa dada zetu elimu ya kupata madanga na kujiuza mwa wepes
 
To be honest mie naona hapo kama umewapa dada zetu elimu ya kupata madanga na kujiuza mwa wepes
unapotoa elimu,mpokeaji wa hiyo elimu anaweza kuitumia atakavyo lakini,angalia madhumuni ya elimu hiyo ndio utajua,nini hasa maana yake
 
kabisa, kuna namna tunafail kama taifa. Kuna kila namna taasisi za familia kuwekeza nguvu kubwa katika hilo.
Wanaume wenyewe wanazalisha wanawake na kuwaacha hiyo familiar bora itatoka wap?

Halafu wanakuja na campaign ya kataa ndoa!!!!

Wanaume tubadilike sisi ndiyo tumepewa mamlaka kuongoza hii dunia na kila kiumbe kilichopo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…