Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Haha.Hiyo no 1 nimeielewa mkuu ngoja niisave kwenye note book itakuja nisaidia mbeleni
Haha hiyo noma mzeeUkimuona anakuja kwa mbali ingia chocho hata kama amekuona🙄
Ukimuona anakuja kwa mbali ingia chocho hata kama amekuona🙄
hiyo ya vikao nakubari ndugu ukishiriki sana vikao vyao wanakuchukulia poa
mm wakisema inabidi niende j2 hii kuna vikao mie sawa ila siku ya kikao ikifika lazima itokee ishu ya dharura kusema nasafiri shenzi nzao kuna makabira furani ukio bint zao wanataka wakupangie kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu simu zipo?[emoji23][emoji23]
Sent using IPhone X
Nimeshakuelewa mkuu.
Nilikuwa nataka kitecno cha k7 kwa 130k maaana unauza simu used
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauza iphone x used bei gani?Nauza simu used kasoro makorokoro ya Tecno,itel na infinix mkuu
Sent using IPhone X