Mbinu za kuiba kura Arumeru ni hizi hapa

kwa muda uliobaki daftari lihakikiwe
Vituo vitangazwe mapema
Idadi ya Wapiga kura ijulikane mapema
Matokeo yabandikwe vutuoni
Majumuisho na matokeo yatangazwe live kadiri yanavyotoka na wasimamizi wa vituo kwa simu
Matokeo jumuishi yasilale

Majuna yatabandikwa siku 8 kabla ya siku ya kupiga kura ni vema majina yakisha bandikwa tu hivi wanachadema wahakiki na kama wakiona kunakasoro kuwe na watu watakao lifuatilia mapema tume na kwa uongozi wa juu.
 
Kwa jinsi CCM isivyotaka demokrasia ichukuwe mkondo wake njia mbadala ya kuiondoa ni mapinduzi ya kijeshi, natoa mwito kwa wapiganaji katika majeshi yetu waasi amri za makamanda wao ambao tayari wako katika mtandao wa ufisadi unaolelewa na CCM waiangushe serikali dhalimu hii. Ni bora utokee umwagaji wa damu ambao utaleta ukombozi wa kweli wa taifa letu. TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA,TUMEFISADIWA KIASI CHA KUTOSHA,TUMEFUKARISHWA KIASI CHA KUTOSHA,TUMEIBIWA KURA KIASI CHA KUTOSHA SASA TUNATAKA MAPINDUZI.
 
Kwani CCM kuna mahali iliwahi kushinda kihalali? wizi tu! ndio maana katika chaguzi nyingi...pale ambapo inaonekana mgombea wa upinzani ameshinda,inakuwa ngumu kutangaza matokeo mpaka wananchi waandamane! mfano Arusha Mjini, Mbeya Mjini, ilemela na Namagana, Ubungo, kawe etc katika uchaguzi wa 2010.
 
Nthani kikubwa apa inabidi CDM ichukulie ili swala serious kwani kila Mtanzania mwenye akili anataka mabadiliko japokua bado wapo kwy system but wako tayari kwa mabadiliko, chakufanya ni CDM kutumia vijana wengi wasomi na wenyekujua umuhimu wa mabadiliko kubana kila kona kama walivyo fanya Ubungo. nathani CDM this is last week to find the way to overcome this Froud.

suala la kutumia wasomi ni sawa but mimi ni moja ya wanachuo wa vyuo vinavyopatikana huku Arumeru,nlichokiona ni wasomi kupewa Tsh 10000 kwa ajili ya kununua kadi za watu wakitumiwa na CCM,pia wanatumika kugawa mbolea na mbegu kutoka kwa hao magamba ,nashindwa kuelewa hawa wenzetu ambao wanasoma kwa ghalama kubwa wakinunuliwa kwa bei kama hiyo ukizingatia wao hawana haki ya kupiga kula.
 
Hata wakiiba kura hizo (na uwezekano wa kuiba ni mkubwa sana) na hata wakishinda (kwa wizi huo) bado CCM hii ya sasa itaanguka tu. It's just a matter of time. Labda izaliwe CCM mpya. Kama ni hii ya sasa, yenye viongozi hawa hawa wanaorithisha watoto wao madaraka na vyeo, aaah, wataanguka tu. Watazima sana matukio yanayoonyesha kushindwa kwa CCM (e.g. kujipatia ushindi kwa wizi), LAKINI NAWAAMBIA - 'MNAZIMA MOTO (WA GESI) KWA KUUFUNIKA KWA LUNDO LA PAMBA'.
 
Walaaniwe,hawa ni wakupigwa mawe hadi kufa hawawezi kuchezea haki za wananchi namna hii,vituo hewa halafu tume inawabeba,Majaji nao wanakubali kuwa wezi,Ikifika mahala mtu kama jaji anakosa utu ujue hakuna nchi wala uongozi dhuluma kitu cha ajabu sana waambieni wanachi mbinu zao zote,waambieni wanavyokimbia na masanduku,wanavyozima taa,wanavyoangusha magari ya masanduku,wanavyobadilisha fomu waambieni wana Arumeru toeni na mifano hiyo ya vituo hewa

Nilisema, ninasema na ntasema kuwa JF siku hizi imepoteza mwelekeo , imeisha kufa na sasa inasubiri kuzikwa. Habari hazina source bado mtu anazileta jamvini, huku si kufanya JF NI KIJIWE CHA UMBEA NA UZANDIKI !!!!!. Maskini JF IMEJIISHIA NA SIO TENA KAMA ZAMANI AMBAPO HABARI ZILIKUWA ZA UKWELI NA UHAKIKA

Kwa jinsi CCM isivyotaka demokrasia ichukuwe mkondo wake njia mbadala ya kuiondoa ni mapinduzi ya kijeshi, natoa mwito kwa wapiganaji katika majeshi yetu waasi amri za makamanda wao ambao tayari wako katika mtandao wa ufisadi unaolelewa na CCM waiangushe serikali dhalimu hii. Ni bora utokee umwagaji wa damu ambao utaleta ukombozi wa kweli wa taifa letu. TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA,TUMEFISADIWA KIASI CHA KUTOSHA,TUMEFUKARISHWA KIASI CHA KUTOSHA,TUMEIBIWA KURA KIASI CHA KUTOSHA SASA TUNATAKA MAPINDUZI.

Ww twakujua ni Mrundi sio mtanzania. Tanzania yetu tuachie wenyewe !

Jamani tujitahidi kukabiliana na huo mpango wa ccm wasije wakaiba kura zetu kama walivyofanya Keko na sehemu nyingine
 
CCm wana kitengo maalum cha wizi wa kura....Wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010 waliwapeleka vijana wao ambao ni computer specialists nchini China kujifunza jinsi ya kuiba na kutengeneza kura fake. Kitengo hiki kina ratibiwa na makao makuu hata Igunga walipelekwa. Mmoja wapo wa vijana hao anaitwa Paul ...Hawa wanatangulizwa kuangalia kila namna ya kuiba na hutoa taarifa makao makuu au kwa katibu wa ccm mkoa husika...kwa Arusha wanapenda kufikia Guest House opposite na Dry cleaner moja pale kwenye stand ya viford....natafuta namba ya mmoja wao kwa mapokezi nitairusha nikiipata
 
Kama wamekataa kutumika kwa Fomu 17,wamekataa kuboresha daftari la kura hakuna sababu yoyote itakayokubaliwa kuongeza kituo chochote kwa sababu wamesema mambo yatakuwa sawa na mwaka 2010.Wizi wa kura utakuwepo kwa sababu msimamizi wa Uchaguzi Arumeru amekiri kuwa watagawa wapiga kura kwenye vituo mbalimbali wasizidi 500 hiyo ni picha halisi wananchi tusikubali kabisa hawa majambazi chama cha magamba kutuchezea wananchi hatutaendelea kulalamika kila siku haiwezekani kabisa
 
Kwani hata Rais wako alipatikanaje??????? Jinsi ya kupata viongozii kwenye nchi hii sio ya kusimamiwa na tume ya uchaguzi ya kikwete, ni mchosho kabisa!!!!

Tukitaka kuwa na uchaguzi huru tubadilishe mfumo uliopo wa uchaguzi, vinginevyo tunajichosha wenyewe
 
Nilisema, ninasema na ntasema kuwa JF siku hizi imepoteza mwelekeo , imeisha kufa na sasa inasubiri kuzikwa. Habari hazina source bado mtu anazileta jamvini, huku si kufanya JF NI KIJIWE CHA UMBEA NA UZANDIKI !!!!!. Maskini JF IMEJIISHIA NA SIO TENA KAMA ZAMANI AMBAPO HABARI ZILIKUWA ZA UKWELI NA UHAKIKA

Masikini nawewe ni wa hovyo pia! JF iko makini we tu!
 
ccm wamegundua hawatashinda uchaguzi arumeru wameamua kutafuta njia mbadala za ushindi,njia mojawapo ni hii wameandaa vituo hewa vya kupigia kura 67.nadhani hv vituo hewa ndo vitakua na yale mabox yetu yaleee yengu kura za ndiyo tayari.2namshukuru mungu kwa mwongozo wake 2megundua hili,bado ziko na nyingine nyingi hawa jamaa ni hatari

Mashaka na visingizio ni vya nini wakati kila kukicha hapa JF kunawekwa thread za kwamba Jimbo ni la CDM?
 
Nilisema, ninasema na ntasema kuwa JF siku hizi imepoteza mwelekeo , imeisha kufa na sasa inasubiri kuzikwa. Habari hazina source bado mtu anazileta jamvini, huku si kufanya JF NI KIJIWE CHA UMBEA NA UZANDIKI !!!!!. Maskini JF IMEJIISHIA NA SIO TENA KAMA ZAMANI AMBAPO HABARI ZILIKUWA ZA UKWELI NA UHAKIKA

Dume la mbegu nakuhurumia, kauli kama hizi unaweza kula ban ya kudumu.
 
Ww twakujua ni Mrundi sio mtanzania. Tanzania yetu tuachie wenyewe !

Mtu aliyefilisika kisiasa hukimbilia ukabila. Haiwezekani Muendelee kuiba tunawatazama tu eti tusiseme kwa kuwa Mnaingia serikalini kindugu na kugawana rasilimali za watanzania kwa kujiona ninyi ndo nma haki ya kula keki ya Taifa na kuwaone wasio ccm si watanzania. kama vipi hata warundi watatusaidia kuwaondoeni ninyi mafisadi.
Hongereni mali.
 
Back
Top Bottom