Mbinu za kuiba kura Arumeru ni hizi hapa

mkakati ni kwamba kunaandaliwa waleta fujo kwenye vituo vya kura.wakati fujo zinaendelea polisi wanafika kwa kasi huku gari zao zikiwa na masanduku yenye kura za sioi,fujo inatulizwa na uhesabu wa kura unaendelea hapo utaona kila kura inayotoka ni sioi...
Mkuu sina tabia ya kuleta udaku hapa jamvini.take it or leave it!

Huwa na naamini sana comments zako mkuu, nafikiri kunahaja ya kila kituo kuwa na watu hodari hasa maeneo ya mbali ambako huoumafia ukifanyika waweze kukabiliana nao.
 
Tutatumia mbinu zilizowabana mpaka lema akapata ubunge arusha urban,they leave no obtion.
 
Naskia sehemu zote zenye uchaguzi ndo mbinu wanaitegemea sanasana Kata ya Kirumba ambako ni wazi wanajua hawana watu.
 
Habari za uhakika LAKINI ambazo hazijathibitishwa zinasema dola kwa ushirikiano na Tume ya uchaguzi (NEC), wanajaribu kuandaa wizi wa kura katika uchaguzi mdogo wa Arumeru. Mtoa habari wangu ndani ya dola na tume, anasema mpaka sasa mbinu zilizoandaliwa ni hizi:

-Kuna vituo hewa 50 na zaidi: Vituo hivi ama vitatumika kupiga kura za mamluki, wapiga kura hewa au wapiga watakaokuwa wamepiga kura pia katika vituo vingine.
-Tume kuamua ghafla kutobandika majina ya wapiga kura katika vituo kwa madai kuwa "kila mtu aende kupiga kura katika kituo alichopigia kura mwaka 2010".
-Tume kupelekewa majina ya wanaodhaniwa ni mashabiki wa vyama vya upinzani (hasa Chadema), ili waondolewe katika orodha ya wapiga kura. Hawa wakifika vituoni na shahada zao watakuta majina yao hayamo na hawataruhusiwa kupiga kura.
-Polisi na Usalama wana maelekezo ya kupiga, kuua, kufunga mtu yeyote atakayeonekana "anazurura" baada ya kukosa jina lake katika kituo kimoja na kuamua kwenda kingine kuangalia jina lake.
-Orodha ya vituo hewa imeishaandaliwa na mtoa habari wangu ameahidi kuniletea.

Orodha ya mbinu inaendelea kesho....

Habari hizi zinafanana sana na nyingine ambazo nimekuwa nikizipata kutoka kwa makada wa CCM wanaosisitiza kuwa, "hata iweje tutashinda". Ukiwauliza mtashindaje ikiwa watu hawatawapigia kura, wanajibu kwa kifupi tu kuwa "tutashinda na tuna uhakika na hilo".

Kiongozi mmoja wa dola na kada mwandamizi ameniambia kuwa "ni bora uchaguzi uvurugike kuliko jimbo hili kuchukuliwa na upinzani".

Stay tuned.
 
Hawa CCM watakuja kupelekea nchi kwenye machafuko lakini sifhani kama wamejiandaa kukabiliana na moto itakao anzia Arumeru na kusambaa nchi nzima
 
Africa kuna wizi mkubwa sana wa kura kuliko bara lolote lile hapa duniani.kipindi kile maandamano ya kumng'oa Mubarak kule Misri yaliposhamiri nilijiuliza sana aliwezaje kushinda uchaguzi ilhali wananchi karibu wote walionyesha kuwa hawamtaki? nadhani mbinu zinazotumika kuiba kura hapa kwetu ndo hizo hizo zinatumika na nchi nyingine za africa.hivi huu ubunifu wanaoutumia katika kuiba kura wangeutumia ktk kuleta maendeleo si tungekuwa mbali sana?
 
kwa muda uliobaki daftari lihakikiwe
Vituo vitangazwe mapema
Idadi ya Wapiga kura ijulikane mapema
Matokeo yabandikwe vutuoni
Majumuisho na matokeo yatangazwe live kadiri yanavyotoka na wasimamizi wa vituo kwa simu
Matokeo jumuishi yasilale
 
Nthani kikubwa apa inabidi CDM ichukulie ili swala serious kwani kila Mtanzania mwenye akili anataka mabadiliko japokua bado wapo kwy system but wako tayari kwa mabadiliko, chakufanya ni CDM kutumia vijana wengi wasomi na wenyekujua umuhimu wa mabadiliko kubana kila kona kama walivyo fanya Ubungo. nathani CDM this is last week to find the way to overcome this Froud.
 
Such thin speculations seem to be designed to justify your coming thrashing by CCM. You are compelled to resort to spreading footless accusations, now that you have realised you stand no chance of coming off winners.
 
Such thin speculations seem to be designed to justify your coming thrashing by CCM. You are compelled to resort to spreading footless accusations, now that you have realised you stand no chance of coming off winners.

Wenyewe CCM wametumia speculations kuja na mbinu kama hii. Hizi speculations pia inabidi zitumike na CDM kuzuia mbinu zao. CCM ndio wana wasiwasi wa kushindwa...jaribu kuunganisha matukio tu ukweli utaupata
 
Ndio maana nasema CDM wakishindwa viongozi wajiuzulu kwani taarifa hizi siyo ngeni!! na ni rahisi sana kupanga counter intelligence...
 
Ndio maana nasema CDM wakishindwa viongozi wajiuzulu kwani taarifa hizi siyo ngeni!! na ni rahisi sana kupanga counter intelligence...
Tatizo lako unajua sana watu wakikwambia amna shughuli bila ya hawa jamaa ku sort accountability and balance and checks vinginevyo nikusumbuka tu watanzania wengi ni bado, suala muhimu ni namna ya kujikuza mjengoni kwanza na kujipa kipaza sauti.

We mwenzetu unaona kama vile watu wanakuangingia look at the time i mentioned the problem with constitution the main ones (fairness) we tena mwenzetu mambo ya katiba ukayawekea muungano, sijui nini na nini ili mradi tu mnapoteza muda. CCM ni chama tawala kupitia ridhia ya wananchi lakini aina haki ya kuvunja usawa wala haki za waamuzi.

Jiulize iweje wanaweza fanya hivyo day in and day out?
 
Ndio maana nasema CDM wakishindwa viongozi wajiuzulu kwani taarifa hizi siyo ngeni!! na ni rahisi sana kupanga counter intelligence...

Mwanakijiji
Kujiuzulu kunataka ukakamavu na uzalendo; jiulize kama wanao.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
of course... suala ni kuwa CDM wanafanya nini kucounter move?

Wewe ukiwa kama mwana megeuzi na mpenda haki unatakiwa na wewe utoe output yako kwa wana mageuzi njia ambazo unahisi zitawasaidia kuzui hayo yasitokee sasa ukiuliza maswali tu kwa cdm itakuwa kazi kujibu maana sio maswali marahisi yanatakiwa collective effort ya kila mwanamageuzi na great thinker pia
 
Back
Top Bottom