Gray Ze Don
Member
- Aug 18, 2013
- 36
- 3
bachelor of laws,jordan wakuu
Usi dodge Lectures, Penda library, Usimis Quiz na Assignments pitia past papers, usiwaudhi ma lecture usikose mitihani. Punguza ujuaji mwingi( KIHEREHERE) Fanya group discussions Punguza Bata na wanawake/wanume sababu watakupotezea concentration.
Dreson3 pamoja na wadau wengi wameweka mengi ya muhimu. Zingatieni hayo, ila msikatishwe tamaa na baadhi ya watu, changamoto ni nyingi sana lakini ukiwa wewe kama wewe utaweza kabiliana nazo. Hapa namaanisha ukifika kule usikubali mazingira yakubadilishe negatively.
Hii nzuri.Usi dodge Lectures, Penda library, Usimis Quiz na Assignments pitia past papers, usiwaudhi ma lecture usikose mitihani. Punguza ujuaji mwingi( KIHEREHERE) Fanya group discussions Punguza Bata na wanawake/wanume sababu watakupotezea concentration.
DuhNakubaliana na 100% nlfanya iv. Sanasana apo kwenye kiherehere na assignment zingatieni sana
Ww huna Sifa ya kwenda Chuo kikuu nakutaniaNdugu zanguni,kwa wale ambao mmepitia vyuoni si mbaya mkatugusia sie ambao tunatarajia kuanza chuo mbinu na njia za kuweza kufaulu vizuri,kama mjuavyo elimu ya chuo ni tofauti na ile ya sekondary jinsi ya kujibu mitihani na mengineo ni tofauti,kwahiyo kama mtakuwa na chochote cha kutuambia basi ningeomba mtujuze,SHUKRAN