Ndugu zanguni,kwa wale ambao mmepitia vyuoni si mbaya mkatugusia sie ambao tunatarajia kuanza chuo mbinu na njia za kuweza kufaulu vizuri,kama mjuavyo elimu ya chuo ni tofauti na ile ya sekondary jinsi ya kujibu mitihani na mengineo ni tofauti,kwahiyo kama mtakuwa na chochote cha kutuambia basi ningeomba mtujuze,SHUKRAN
Usi dodge Lectures, Penda library, Usimis Quiz na Assignments pitia past papers, usiwaudhi ma lecture usikose mitihani. Punguza ujuaji mwingi( KIHEREHERE) Fanya group discussions Punguza Bata na wanawake/wanume sababu watakupotezea concentration.
Inategemea pia na chuo na kozi utakayosoma. Weka chuo na kozi ili alumni wakupe tech za kupata first class au upper second ya maana. All that matters for good performance in any higher learning institution is self control! Hakuna viboko wala mtu anayekufuatilia mambo yako.

Chamuhimu soma kabidii .usiwadharau walimu. Shirikiana na wenzako kimasomo jiheshimu ili upate watu wa maana wa kukusaidia .achana na starehe yoyote .mwombe sana mungu wako.karibu chuoni