Mbinu ya kupunguza uzito kwa haraka

Exactly ,
Hao wanaosema sijui grean tea cjui yai moja...kwanza gharama pili ni kujitesa ulale na kabich tumboni ...... Ukipiga sana mazoez plus kupunguza sukari na mafuta mwili unapungua vuzur tuu....mm nilikuwa na kilo 89....na gram zake nime hit mazoez sasa Nina kilo 72 tuu...tshirt na jeans zinanikaa saafi kabisa
 
Ndio maana nasema hyo ndio simple way(ziko nying ingawa) sio wote wanawez fany mazoez masaa mawil au matatu,na pia we do this kwa kutaka results za haraka sas ukisema ule full menu halafu utegemee results z haraka sio kweli,unless uwe unafany mazoez meng sana btw wataalam wanashauri kula health na mazoez ndio sir y muonekano mzuri!
 
Hahahahaha ndio hvyo nakumbuka Nyani Ngabu alisha sema unatakiwa uwe na self motuvation ndio utafanikiwa, so usifanye kama huna mood kbs
Nashukuru umelijua hilo ongezea pale Chin kuweka self motivation kabisa ha ha ha ila ntakufata pm kama hujaifunga kwa maelezo zaidi
 
Fanya mazoez haya kila siku asubuh...achakula kula kama msukuma kwenye basi..nakuhakikishia ndani ya mwezi utakua mtu mwingine...
 
Naomba kuuliza ukichangaya mchanganyo wa maji ya moto asali limao na tangawiz nasikia ni vitu vizr kweny kupunguza uzito na tumbo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom