Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

oooh bwoy....well well well.....@lara 1 baby......help......

preta nipe ujuzi kidogo, hawa kaka zetu ukimkodolea macho na kumwelezea vile unavyojisikia kuhusu yeye anakuona kicheche,
 
> mvalie rojorojo transparent kidogo, then... usimsemeshe..
> vaa braa za kusimamisha tits...

> Mwalike lunch... don't tell him anything...

> ukimaliza lunch, baada ya two days mwalike dinner only u two, then mvalie kumuua, then maongezi yakinoga MWAMBIE MKALE TUNDA, utalipia gharama zote na umekuja na condoms paketi 5, yaani za mechi round 15, kisha baada ya mechi omba mil 1 au 2 na kuendelea, mwanamke utakuwa umerudisha gharama zako zote, akili kichwani.. 😛😛😛😛

> Goodluck..
 
Jifunze interests zake, ukizijua ziown ili muwe karibu.
Be decent na jiamini
Kuwa naye karibu kiprofessional ila ukipata nafasi a joke or two inaweza kumfanya amiss presence yako ukiwa haupo.
Akisha jenga mazoea then punguza ukaribu, atakufuata mwenyewe.
 
preta nipe ujuzi kidogo, hawa kaka zetu ukimkodolea macho na kumwelezea vile unavyojisikia kuhusu yeye anakuona kicheche,
Jipe moyo utapata ujasiri wa kumueleza ukweli vile unavyojisikia. Kwani wao mbona wakitu-feel wanatuambia live?
 
... mvalie rohorojo transparent kidogo, then... usimsemeshe..
... vaa braa za kusimamisha tits...

--- Mwalike lunch... don't tell him anything...

-- ukimaliza lunch, baada ya two days mwalike dinner only u two, then mvalie kumuua, then maongezi yakinoga MWAMBIE MKALE TUNDA, utalipia gharama zote na umekuja na condoms paketi 5, yaani za mechi round 15..

... Goodluck..

But sidhani kama baada ya mechi huyo mwanaume ataendeleza huo uhusiano LOL

Kwa ushahuri wangu we mwambie tu but usitumie sex kama ndo main weapon yko ya kupata umpendaye coz unajifanya kuwa cheap mno
 
U don't need to complicate.....
Muite pembeni, mtizame machoni mwambie unampenda, tena be confident(sio ukakamae sasa)
using'ate kucha mbele ake, utang'ata badae ukiwa mwenyewe....!!!
Wachache sana wanaokataaga teh! omba asiwe mmoja wapo make hizo aibu sijui utaziweka wapi
 
Kuwa karibu nae, kuwa karibu kunavutaga hisia za watu wawili: Unaweza kuwa naye karibu kwa;-
1) Jifanye unahitaji msaada wa ki-technical hata kama unajua. Hii inategemea na nature ya kazi mnayofanya. Mfano, kama ni wahasibu jifanye kuna report unataka kuivuta kwenye system ila umesahau au hujui path.
2) Jifanye umechoka kula lunch sehemu moja, na unataka kuchange mazingira, like ' where do u go 4 lunch, i wish niku-join maana huko nakoenda kumenichosha'.
3) Fanya utafiti anapenda kuongelea nini, kama siasa, filamu, mpira etc. ili nawe uongelee hilo, hii itatoa starter ya maongezi yenu.
4) Uwe una-smile kila ukimuona (sio sana, si unajua unaweza ku-smile bila kuonyesha meno).
Ukifanya hivyo hapo juu mtajikuta mmekuwa marafiki wa kawaida, sasa kama una vigezo vya mwanamke anayempenda ye mwenyewe ataanza kukutokea, ukiona hasemi kitu, itabidi ujilipue tu ( yaani umwambie face to face kwenye lunch au dinner).
Angalizo: confirm kama policy ya ofisi yenu inaruhusu mapenzi ofisini, usije kumsababishia kijana wa watu matatizo.
 
Kama una no. yake mtwangie, akipokea 0‹2ngea kwa sauti ya mahaba huku ukijifanya umekosea no. muombe samahani!! Rudia mara kwa mara hiki kitendo, mwenyewe atagundua umemzimia, atanyoosha mambo!
 
... mvalie rohorojo transparent kidogo, then... usimsemeshe..
... vaa braa za kusimamisha tits...

--- Mwalike lunch... don't tell him anything...

-- ukimaliza lunch, baada ya two days mwalike dinner only u two, then mvalie kumuua, then maongezi yakinoga MWAMBIE MKALE TUNDA, utalipia gharama zote na umekuja na condoms paketi 5, yaani za mechi round 15..

... Goodluck..

Aisee, hii sasa ndio itamfanya amuone muhuni, siku ya pili tu, unaomba match!!
 
Nauna unajitafutia kifo cha pole pole
hakuna mateso duniani kama mwanamke kumpenda mwanaume asiekupenda,hapo ili umpate inabidi ujigonge kwake yes ataingia laini lakini akishakulamba hiyo k utaishi kwa shida maisha yako yote kwenye hayo mahusiano
wacha kabisa
acha asili ichukue mkondo wake usimtongoze mwanaume kamwe? Kwani umekosa nini? Mihemko tu ya muda hiyo..ooooh moyo mdanganyifu???????
 
U don't need to complicate.....
Muite pembeni, mtizame machoni mwambie unampenda, tena be confident(sio ukakamae sasa)
using'ate kucha mbele ake, utang'ata badae ukiwa mwenyewe....!!!
Wachache sana wanaokataaga teh! omba asiwe mmoja wapo make hizo aibu sijui utaziweka wapi

ndo hapo sasa nikimwagwa ntakaa wapi hii ofisi, na wanaume kwa kusimliana khaaa
 
Kuwa karibu nae, kuwa karibu kunavutaga hisia za watu wawili: Unaweza kuwa naye karibu kwa;-
1) Jifanye unahitaji msaada wa ki-technical hata kama unajua. Hii inategemea na nature ya kazi mnayofanya. Mfano, kama ni wahasibu jifanye kuna report unataka kuivuta kwenye system ila umesahau au hujui path.
2) Jifanye umechoka kula lunch sehemu moja, na unataka kuchange mazingira, like ' where do u go 4 lunch, i wish niku-join maana huko nakoenda kumenichosha'.
3) Fanya utafiti anapenda kuongelea nini, kama siasa, filamu, mpira etc. ili nawe uongelee hilo, hii itatoa starter ya maongezi yenu.
4) Uwe una-smile kila ukimuona (sio sana, si unajua unaweza ku-smile bila kuonyesha meno).
Ukifanya hivyo hapo juu mtajikuta mmekuwa marafiki wa kawaida, sasa kama una vigezo vya mwanamke anayempenda ye mwenyewe ataanza kukutokea, ukiona hasemi kitu, itabidi ujilipue tu ( yaani umwambie face to face kwenye lunch au dinner).
Angalizo: confirm kama policy ya ofisi yenu inaruhusu mapenzi ofisini, usije kumsababishia kijana wa watu matatizo.

Hapo kwenye bold, kwani nini kijana na sio wote. Kama sheria hiyo ipo mahali popote basi nitumie ili mimi niipeleke kwenye maoni ya katiba mpya
 
Pole sana kwa iyo taabu uliyo nayo.
Kwani wewe kwa kujitathimini unajionaje make isije kua hauna mvuto alafu kaka wa watu ni handsome ukadhani utampata kirahisi.Kama mvuto wako ni wa kawaida itabidi ufanye kazi nzito sana na chunguza kama yeye ana mke tayari au bado.
Jambo lingine una muhitaji kuish naye au just kutembea naye tu kisha kila mtu na maisha yake.Maswali ni mengi ila siku zote penye nia njia ipo tu hata kama mwisho wa siku inaweza kukugharimu.try your best mdada.
 
Back
Top Bottom