Mbinu mpya ya uchunaji kwa dada zetu

Mbinu mpya ya uchunaji kwa dada zetu

tulia wewe acha kulilia kama feruzi,mmu ni mtambo wa kurekebisha tabia,ndo maana ukienda wrong tunakurekebisha we mtoto.na log off mimi huyo kalenga ila nitarudi baba yenu badae.

urudi? lolz!

ticket yako imeandikwa one way! utarudi kwa ungo ama? just keep going. no way back!

felix_the_cat_laughing.png
 
mkuu nina kesi mahakamani sababu ya hiyo post kulaleki! hahahaaa!!

kuna mdau kachomwa mpaka kanitukana vibaya sana!! lolz!

Mkuu Excel,,mbona hiyo post imetulia hadi nimegonga like?Atakuwa Kaguswa huyo!!Anapenda vya bure ehee,au ndio walee waliozoea kulelewa!!Achana naye,hasiyejua maana haambiwi maana!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Excel,,mbona hiyo post imetulia hadi nimegonga like?Atakuwa Kaguswa huyo!!Anapenda vya bure ehee,au ndio walee waliozoea kulelewa!!Achana naye,hasiyejua maana haambiwi maana!

katoka segerea tena na hasira! bado ana sumu kweli...

mashamba yetu yanahitaji zana za kilimo km jembe nk. lols!
 
hao madem zako wote ni wa mtandaoni, maana ni vigum kwa dem ambaye umeng'oa kitaani, kutumia hizo trick za kusafiri!
Niseme nimekuelewa kwa upande wa madem wa kung'oa mitandaoni
samahan lakin!
 
Kuna jina nalichukiaaa likitumiwa na wanaume "DEMU"yaani kwangu nalichukulia kama dharau ama akukoseana heshima..
ila wanaume mna kazi kweli..mwanamke anaeombaomba hela si.uachane nae! kama mtu.ameshakubaliana na wewe nauli ya.basi inamshinda nini..hata kama ingekua laki..shida ni kwamba wanawake wengi wanapenda dezodezo na wapo after.money
 
Wanawake wengi hapa mjini ukichati nae anakueleza mara yuko mwanza ,mara lindi mara tabora na kukuomba umtumie nauli aje dar.
wote hao wako hapa hapa dar lengo ni kukamua hiyo elfu 40 utakayomtumia na hiyo utakayompa.

Nimekutana na ishu hizi zaidi ya mara tatu. demu kuchukua vinguo viwili kuviweka kwenye begi anakuja na kutokamabibo anajidai katoka mbeya. mmoja kwa kubugu kachukua tax inatoka buguruni naion anajidai katoka ubungo. hii kweli ni hatari.

wadada mkitaka pesa semeni msitumie ujanja.

Wakaka mmezidi kujiendekeza, Mkiona mpaka hii inafanikiwa ujue soko lake LIPO!!

Kama nimekuambia natokea Mwanza, umeshindwa vipi kwenda Ubungo ukanikatia tiketi kisha nikaichukulia Mwanza? Wacha hii ya Tiketi za Alfu 30-40. Siku hizi tunapiga sana hela kwenye birthday.

Kuna dada yangu mmoja mpaka mwezi huu kashakula hela za jamaa watatu kwa ajili ya birthday tofauti!!
 
Back
Top Bottom