Mbinu mpya ya kupiga mizinga?

Mkuu umetumia uwerevu wa hali ya juu kumkwepa vngnevyo ungemkopesha, ungepewa papuchi siku mmoja tu na deni utaambiwa tu
 
Mkuu umetumia uwerevu wa hali ya juu kumkwepa vngnevyo ungemkopesha, ungepewa papuchi siku mmoja tu na deni utaambiwa tushamalizana
 
Mkuu umetumia uwerevu wa hali ya juu kumkwepa vngnevyo ungemkopesha, ungepewa papuchi siku mmoja tu na deni utaambiwa tu

Sio tu papuchi siku moja, bali ningepoteza hela zaidi, kumtia si ningelipia hotel plus msosi, halafu bado wasiwasi wa kujihami kufumaniwa plus wa ngoma, akafie mbele.
 
Reactions: irk
Mkuu sio wewe tu, mie yananisibu kama hayo, kuna mke wa jamaa mtaani, haishi kunipigia simu "swahiba ninashida kweli, kama laki 3 hv swahiba" cha ajabu huo uswahiba hatuna hilo moja, pili hajawahi kuwa specific kama ninamkopesha au lah, halaf mchiz sio rafiki kivile zaid ya kuonana mtaani salam za hapa na pale, na stor za juu juu sio kama tunaweza kukaa tukayapanga yetu...
 
Huwa nasemaga hivii... kama huna ujasiri wa kumfesi huyo unayemrekodi, achana na habari ya kupeleka audio za watu kwa wenza wao...
Kurekodi ni ushahidi wa yeye mwanamke akikataa na kugeuza kibao kwa kusema jamaa alimmtongoza
 
Huo utakuwa ni ujinga uliopindukia, kuna mambo mengine yafaa muwaachie wanaume waliopevuka wadeal nayo, siyo mambo ya kulialia Jamvini.

Hii ya Kufanya hivi ni kwa usalama kati ya jamaa na mume wa huyo mke . Baadhi ya Wanawake ni wepesi WA kukataa vitu badala yake wanasema uongo kwa kusingizia alitongozwa kwa lazima[
 
Juzi kaja home demu kaanza tu kulia kwa nguvu kama nyumba yake inapigwa mnada leo,eti anahitaji Milion 2 akasimamishe huo mnada!Ukweli ni kuwa huyu demu anaishi nyumba za National Housing na hana nyumba popote pale hapa duniani!

Nikampuuza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…