Mbinu mpya ya kupiga mizinga?

Kwa ajili ya kichefuchefu,sababu ukiona watu wanaongelea kuwavuta wadada kitapeli,roho inachafuka.

roho kuchafuka na kichefu chefu kumbe ni kitu kimoja, haya dk mwaka.
 
Aisee Good observation mkuu, nimejifunza kitu hapa.
 
Wanawake wakibongo siku hizi wanakera..!kuna mmoja/mchepuko yaani unanipiga mizinga mpaka sipumui vema,lakini siku akiingia katika hamsini zangu,yaani vumbi LA Kongo litausika 100% alafu napiga chini.
Pesa huna halafu unahendekeza michepuko.
Rais Magufuli tunazidi kumuangusha jamani
 
Mkuu na Magu jinsi anavyokaza kila kukicha atawaua, mpaka miaka 5, sipati picha, maana walikuwa wanahongwa hela nje nje kumbe za wizi, mimi hela mwanamke hapati kiholela, mkome!
Ndio hivyo mkuu, pesa mtu aliyotafuta kihalali hawezi kuigawa kihasarahasara tu hovyohovyo.
 
Hahhaaa pesa hii itatufikisha kuzimu
 
We nae una mbinu aisee, ungekosea kodogo tu vhalii!!

Nimemzingua kama issue ya Escrow, hela zinaingia kwenye account hujui zilikotoka, alivyo mjinga aliamini maana alikomaa sana kutaka kujua kulikoni hilo sakata la hela.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…