Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
- Thread starter
-
- #21
Na wanawake nao wakiongelea pesa basi mwanaume anaganda, ukitaka akukimbie sema hauna pesa au unamuomba halafu baadae utamjua ni atatimka kwa hiyo maiaha ya hivyo ni 50/50.
Mmetuzidi kwenye nyie ndio mnaitumia sana na wanawake sijui niseme wasichana hawana mbinu za kutengeneza habari labda awe amekubuu na hana shida sana ndio anaingia mkenge wenu kirahisi.
sijui kuna ukweli hapa
Kieh! Kieh! Kieh! komaa nae tu, ukiishiwa sana pumzi nicheki nikuazime diving oxygen kit.Wanawake wakibongo siku hizi wanakera..!kuna mmoja/mchepuko yaani unanipiga mizinga mpaka sipumui vema,lakini siku akiingia katika hamsini zangu,yaani vumbi LA Kongo litausika 100% alafu napiga chini.
Huo utakuwa ni ujinga uliopindukia, kuna mambo mengine yafaa muwaachie wanaume waliopevuka wadeal nayo, siyo mambo ya kulialia Jamvini.Bado hii hailalishi ulale na mke wa mtu au kumtamani . Ukiona mke wa mtu anafanya hivi mmrekodi nenda moja kwa moja kwa mumewe amkanye mkewe . Mke huyo kakosa maarifa!
Hzo talaka zinatolewaga ovyo ivo km majan ya mwarobain???? Mke n kama mtot ukifany jambo nae hufuata nyayO sa iweje akushuhudie mara mia ukifanya mambo ksircr ila ye afanye m1 tu talaka juu------ ama kwel mkuki mtamu kwa nguruwe__________!!!!!Nikikugundua, talaka hapohapo, maana nitaamini hizo hela za kufanyia hayo madili ni za kuhongwa, utajuuuuuuuuuuuuuuuuta!
Hzo talaka zinatolewaga ovyo ivo km majan ya mwarobain???? Mke n kama mtot ukifany jambo nae hufuata nyayO sa iweje akushuhudie mara mia ukifanya mambo ksircr ila ye afanye m1 tu talaka juu------ ama kwel mkuki mtamu kwa nguruwe__________!!!!!
Hahahaaa..nimekumbuka siku moja nimekaa mahali napata ladha mbili, sasa pembeni wamekaa washikaji watatu na upande mwingine kwenye meza nyingine kuna warembo wawili, wale washikaji baada ya mda wakaanza kuongea kwa sauti kidogo kwamba kuna mzigo wameuza na kesho yake watagawana mil400 kila mmoja, wale warembo kusikia hivyo jicho hiloo likawatoka balaa na umate umate hivi! Wakaaza kuwalegezea macho...!!
Lengo la kuwa na mali kisirisiri ni nini?
Na hamna namna; wamezoea kupiga mizinga nao wacha wakamatwe kwa style hiyo!!Jamaa wa hivyo wamesomea kukamata wasichana, hasa mijini. Unasikia mtu anapiga simu kwa sauti, huku yuko baa, "huo mzigo unaingia wiki ijayo, yeah, ndio, enhee, natakiwa nikalipia sasa hivi USD mil 2, poa tuonane baadaye bandarini", halafu pembeni kuna warembo, kwa nini wasing'oke mkuu!
C mnasemaga madili meNgine mke hapasw kushirikishwa???? naye huenda ameamua mme asimshirikishe.
Mashaka makubwa.sijui kuna ukweli hapa
utasutwa khaaa shauri yakoMashaka makubwa.
Basi wewe ndio utakuwa umeniponza.utasutwa khaaa shauri yako
Wewe ndie utakuwa umeniponza.utasutwa khaaa shauri yako
hahaaaaaaa naleta keki na vanga subiriBasi wewe ndio utakuwa umeniponza.
Wewe ndie utakuwa umeniponza.
Daah sasa ukiyachanganya hivyo si litasanuka? maana yake hilo ni zengwe,linahitaji zali la mentali.hahaaaaaaa naleta keki na vanga subiri
Huo utakuwa ni ubakaji.Mi demu kumuhonga haizid buku aisee ya nauli .
Ukiona inachanganya si unatafuta malimao tu Atoto?ndio jf mamangu kila siku drama.