Siyo mbinu muafaka maana mwanaume ana plan B.. atatoa hela..Haha,nacheka si kama mazuri, hivi karibuni humu jukwaani kumekuwa na nyuzi za malalmiko kuwa unamtongoza dada asubuhi,jioni anakupiga kizinga.
Je, Wanaume mmewahi kujiuliza kwanini?
Ngoja niwape siri,wadada wengi wamekuwa waelewa,na kama wenyewe mnavyodai akiomba pesa anakukata stimu,mjue ipo mbinu tunaijua.
Kwaio njia rahisi siku hizi ya kupoteza maboya kwa mtu usiyemtaka ni kumpiga kizinga ili aleft in peace.
Wadada wanajua kuwa akikuomba pesa,na kwa maisha ya sasa lazima utajikataa na hivyo kumpunguzia bugudha ya kujibu textz na courtship za kujilazimisha.
Ndio njia mupya ya kumkataa mwanaume ambaye hasomeki/hajiongezi/king'ang'anizi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Teh teh..Hauna zile za kufosi kingi?..Bado vijana wapo na fikra za kwenye zama za mawe kwenye wakati huu wa sayansi ya teknolojia....
Mimi wote waliowahi kunikataa waliniambia LIVE kuwa KikulachoChako sikutaki kwa sababu hunivutii...na mimi bila ya kupoteza napangusa makalio nachapa lapa.....
Ukiwa king'ang'anizi ndio utakapoanza kupika huku wenzako wakipakuaTeh teh..Hauna zile za kufosi kingi?..
To Me I call it, a childish game.. If you don't want someone just tell them the truth why wasting the time .. Huku ni kutojiaamini and not sure for what she is about to say.. Thanks..Ha haa, nacheka si kama mazuri, hivi karibuni humu jukwaani kumekuwa na nyuzi za malalamiko kuwa unamtongoza dada asubuhi, jioni anakupiga kizinga.
Je, Wanaume mmewahi kujiuliza kwanini?
Ngoja niwape siri, wadada wengi wamekuwa waelewa na kama wenyewe mnavyodai akiomba pesa anakukata stimu mjue ipo mbinu tunaijua.
Kwa hiyo njia rahisi siku hizi ya kupoteza maboya kwa mtu usiyemtaka ni kumpiga kizinga ili aleft in peace.
Wadada wanajua kuwa akikuomba pesa na kwa maisha ya sasa lazima utajikataa na hivyo kumpunguzia bugudha ya kujibu text na courtship za kujilazimisha.
Ndio njia mupya ya kumkataa mwanaume ambaye hasomeki /hajiongezi /king'ang'anizi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nikija PM usinipige mzinga dear!To Me I call it, a childish game.. If you don't want someone just tell them the truth why wasting the time .. Huku ni kutojiaamini and not sure for what she is about to say.. Thanks..
Ha haa, nacheka si kama mazuri, hivi karibuni humu jukwaani kumekuwa na nyuzi za malalamiko kuwa unamtongoza dada asubuhi, jioni anakupiga kizinga.
Je, Wanaume mmewahi kujiuliza kwanini?
Ngoja niwape siri, wadada wengi wamekuwa waelewa na kama wenyewe mnavyodai akiomba pesa anakukata stimu mjue ipo mbinu tunaijua.
Kwa hiyo njia rahisi siku hizi ya kupoteza maboya kwa mtu usiyemtaka ni kumpiga kizinga ili aleft in peace.
Wadada wanajua kuwa akikuomba pesa na kwa maisha ya sasa lazima utajikataa na hivyo kumpunguzia bugudha ya kujibu text na courtship za kujilazimisha.
Ndio njia mupya ya kumkataa mwanaume ambaye hasomeki /hajiongezi /king'ang'anizi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaahhaaaaaaaa.... Dear mzinga wa Bee or.. Hahaaaaah.. Dear Mzinga hutopigwa but be ready to accept the Truth .... Thanks...Nikija PM usinipige mzinga dear!