MBINU MPYA YA CCM kuteka vyombo vya habari na kuchakachua taarifa

kuna mbinu mpya ya kuchakachua habari inayotumika na sisiem na serikali ya yake kuwateka wasomaji na watafutaji wa habari
wanachofanya ni kuchanga habari furani zitakazo kuvutia lakini hawatokuonyesha habari nzima wataweka habari ya upande wanaofaidika nao hao wenye nafuu kidogo

KUNA HABARI NIKUA NIMEIWEKA KWEYE BLOG YANGU TAREHE 6/03/2011
HII HAPA www.lifeofmshaba.com: YALIYOTOKEA ARUSHA KATIKA VIDEO

NILIWEKA FULL STORY YAANI VIDEO ZOTE MBILI PARTY ONE NA PART TWO
ZILE VURUGU ZA ARUSHA CHADEMA NA POLISI
MIMI NILIPOST TAREHE 6/03/11 KWA SABABU BLOG YANGU IMEANZA 14/03/11
HIVYO WAKATI WA TUKIO NILIKUA SIJAANZA SHUGHULI HII YA KUBLOG
LAKINI LEO KUNA HII BLOG MICHUZI: yaliyosibu arusha na kupelekea vurugu

IMERUSHA ILI TUKIO KWENYE BLOG YAO NA WAMEWEKA PART 2 WAMERUKA PART ONE

NA KWENYE HIYO PART WALIYORUKA KUNA POLISI WALIKUWA WANAVUNJA GARI KWA MANENO MENGINE WANASHAMBULI GARI ILIYOSIMAMA NA DEREVA KUPIGA VIRUNGU HAKIWA NDANI YA GANI

SASA HII NI NINI ? KWA NINI LEO? NA KWA NINI NUSU TUKIO?
MIMI NIMESHA HAMU KULINYEA KAMA YEYE HAYUKO TAYARI KWANINI KUPOTOSHA WATU NI BORA KUHACHA KAMA BAADO KAZI YA NI BORA KULIKO WATANZANIA NA SISI WENYE MIOYO YA BABA WA TAIFA NYERERE TUKO TAYARI KUINYWA HIYO SIKI
GAME HII YA SASA INAITAJI WATU MAKINI NA TEGEMEZI KAMA UNAKULA KWA KUTUMIA BLOG UTATUWIA RADHI KUNA MAISHA YA WATANZANIA YANAITAJI KUOKOLEWA KUTOKA KWA HAO TAI UNAOJARIBU KUWAFICHA BANDANI MWAKO

MIMI NADHANI MWANA BLOG MWENZETU ANATUMIWA KUCHAKACHUA HABARI WATU WATAKAO IONA HIYO HABARI WATAJUA WAMEPATA FULL STORY KUMBE NI NUSU NA WAKIIONA MAHALI PENGINE WATAIRUKA WAKIDHANI NI MARUDIO NA HII ITAFICHA UOVU WA POLISI NA SERIKALI KWA UJUMLA

UMEFIKA WAKATI KUPIGA VITA VYOMBO VYA HABARI KAMA HIVI WAZI WAZI, HUU NI UFISADI WA HABARI NA UBINAFISI ULIOPINGUKIA MI....ZI HAITENDEI HAKI JAMANI KWA KUWACHAGULIA HABARI ANAZOPENDA YEYE NINA HAKIKA ANAJUA KUNA PART MBILI MAANA HATA ALIYO POST IMEANDIKA PART TWO

NINA OMBA SUPPORT KUANGAMIZA WATU KAMA HAWA KWENYE SOKO LA HABARI
MIMI NINGEFURAHI KAMA NINGEONA TUNAFANYA JUHUDI KUIKOMBOA JAMII YETU SIO KUIANGAMIZA
KWA KUPEWA VIJISENT AU KAMA AMENUNULIWA HASEME WATU TUJUI HIYO SIO TENA BLOG YA JAMII

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Lifeofmshaba,
Bahati mbaya kwenye teknohama aliyetangulia ametangulia na hasahasa kama ni blogs au forums au websites au search engines . Mfano Jamiiforums hata ipigwe vita na mafisadi, Jamiiforums imeshajikita kama ndio kijiwe cha teknohama cha great-thinkers Tanzania na haiwezi kupitwa tena na forum yeyote Tanzania au tusema na forum nyingine ya kiswahili duniani.

Hivyo wewe lifeofmshaba kwa nini na wewe blog yako imekaa kopi right kama michuziblog? bahati mbaya michuziblog nayo imeshatoka ipo mbele kwa mapicha, video, harusi, matamasha sasa kwa nini na wewe uende kwa mtindo huo huo? kwa kweli hutaweza kuishinda michuziblog labda utoke kivingine, yaani blog yako iwe na ubunifu kwa kupenya ktk jumuia ya teknohama kwa namna mpya kabisa.

Sisi member wa jamiiforums ishakuwa ni 'brand' inayoeleweka kuwa kama unataka majadiliano ya kina na Watanzania wenzako njoo Jamiiforums na kama unataka kujua watu wametanua vipi nenda Michuziblog.

Kwa maelekezo ya kujua Forums, search-engines, websites, blogs zinavoweza kuhodhi usambaaji wa habari na pia kusambaza habari kama virusi vya ukimwi kwa kupitia 'hubs' e.g facebook, yahoo, google, jamiiforums,Youtube etc soma kitabu:
''Linked - how everything is connected to everything else and what it means for business, science and everyday life by Albert-Laszlo Barabasi.
 
kuna mbinu mpya ya kuchakachua habari inayotumika na sisiem na serikali ya yake kuwateka wasomaji na watafutaji wa habari
wanachofanya ni kuchanga habari furani zitakazo kuvutia lakini hawatokuonyesha habari nzima wataweka habari ya upande wanaofaidika nao hao wenye nafuu kidogo

KUNA HABARI NIKUA NIMEIWEKA KWEYE BLOG YANGU TAREHE 6/03/2011
HII HAPA www.lifeofmshaba.com: YALIYOTOKEA ARUSHA KATIKA VIDEO

NILIWEKA FULL STORY YAANI VIDEO ZOTE MBILI PARTY ONE NA PART TWO
ZILE VURUGU ZA ARUSHA CHADEMA NA POLISI
MIMI NILIPOST TAREHE 6/03/11 KWA SABABU BLOG YANGU IMEANZA 14/03/11
HIVYO WAKATI WA TUKIO NILIKUA SIJAANZA SHUGHULI HII YA KUBLOG
LAKINI LEO KUNA HII BLOG MICHUZI: yaliyosibu arusha na kupelekea vurugu

IMERUSHA ILI TUKIO KWENYE BLOG YAO NA WAMEWEKA PART 2 WAMERUKA PART ONE

NA KWENYE HIYO PART WALIYORUKA KUNA POLISI WALIKUWA WANAVUNJA GARI KWA MANENO MENGINE WANASHAMBULI GARI ILIYOSIMAMA NA DEREVA KUPIGA VIRUNGU HAKIWA NDANI YA GANI

SASA HII NI NINI ? KWA NINI LEO? NA KWA NINI NUSU TUKIO?
MIMI NIMESHA HAMU KULINYEA KAMA YEYE HAYUKO TAYARI KWANINI KUPOTOSHA WATU NI BORA KUHACHA KAMA BAADO KAZI YA NI BORA KULIKO WATANZANIA NA SISI WENYE MIOYO YA BABA WA TAIFA NYERERE TUKO TAYARI KUINYWA HIYO SIKI
GAME HII YA SASA INAITAJI WATU MAKINI NA TEGEMEZI KAMA UNAKULA KWA KUTUMIA BLOG UTATUWIA RADHI KUNA MAISHA YA WATANZANIA YANAITAJI KUOKOLEWA KUTOKA KWA HAO TAI UNAOJARIBU KUWAFICHA BANDANI MWAKO

MIMI NADHANI MWANA BLOG MWENZETU ANATUMIWA KUCHAKACHUA HABARI WATU WATAKAO IONA HIYO HABARI WATAJUA WAMEPATA FULL STORY KUMBE NI NUSU NA WAKIIONA MAHALI PENGINE WATAIRUKA WAKIDHANI NI MARUDIO NA HII ITAFICHA UOVU WA POLISI NA SERIKALI KWA UJUMLA

UMEFIKA WAKATI KUPIGA VITA VYOMBO VYA HABARI KAMA HIVI WAZI WAZI, HUU NI UFISADI WA HABARI NA UBINAFISI ULIOPINGUKIA MI....ZI HAITENDEI HAKI JAMANI KWA KUWACHAGULIA HABARI ANAZOPENDA YEYE NINA HAKIKA ANAJUA KUNA PART MBILI MAANA HATA ALIYO POST IMEANDIKA PART TWO

NINA OMBA SUPPORT KUANGAMIZA WATU KAMA HAWA KWENYE SOKO LA HABARI
MIMI NINGEFURAHI KAMA NINGEONA TUNAFANYA JUHUDI KUIKOMBOA JAMII YETU SIO KUIANGAMIZA
KWA KUPEWA VIJISENT AU KAMA AMENUNULIWA HASEME WATU TUJUI HIYO SIO TENA BLOG YA JAMII

MUNGU IBARIKI TANZANIA

kimsingi blog ya michuzi iko juu sana na ni internationaly recognised sasa we dogo unawivu tuu coz blog yako bado changa afu unataka kupitia JF uipatie blog yako umaharufu,mi naona hii thread yako kama tangazo la biashara so invisible anakuchek tuu unavyojitangaza kijanja! kaa chini ukune kichwa ujue utatokaje lakini sio kumponda mwanatahaluma mwenzako
 
Michuzi ni kimeo, na mbaguzi sana! alivyoanzisha blog yake ali win suport ya wengi sana, lakini sasa hivi michuzi blog imepoteza umaarufu wake kabisa. Personally i dont like kazi yake, iko openly biased kwa CCM.
 
kimsingi blog ya michuzi iko juu sana na ni internationaly recognised sasa we dogo unawivu tuu coz blog yako bado changa afu unataka kupitia JF uipatie blog yako umaharufu,mi naona hii thread yako kama tangazo la biashara so invisible anakuchek tuu unavyojitangaza kijanja! kaa chini ukune kichwa ujue utatokaje lakini sio kumponda mwanatahaluma mwenzako

Kashanga.....wewe unaonekana ZUZU, tena ZUZUEST! The guy has a point kwenye thread yake na MICHUZI ni biased sana kwenye kazi zake.
 
Na wewe unalalamika nini? mbona kila mtu ameshajua mambo yaliyotokea Arusha ??? Au ulikosa cha kuandika?? Kwanini usiende kuchangia kwenye post za wengine tuone mchango wako?? Na kwa ufupi heading yako haina mshiko kulingana na habari iliyoko ndani.

Nimepita tu hapa... nitawacheki baadae, naelekea Jukwaa la Wakubwa.

kiherehere kihere kweli. kazi yako kudiscourage kazi nzuri za watu. umetumwa na makamba!
 
Back
Top Bottom