MBINU MPYA YA CCM kuteka vyombo vya habari na kuchakachua taarifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MBINU MPYA YA CCM kuteka vyombo vya habari na kuchakachua taarifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmzalendo, Mar 13, 2011.

 1. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna mbinu mpya ya kuchakachua habari inayotumika na sisiem na serikali ya yake kuwateka wasomaji na watafutaji wa habari
  wanachofanya ni kuchanga habari furani zitakazo kuvutia lakini hawatokuonyesha habari nzima wataweka habari ya upande wanaofaidika nao hao wenye nafuu kidogo

  KUNA HABARI NIKUA NIMEIWEKA KWEYE BLOG YANGU TAREHE 6/03/2011
  HII HAPA http://www.lifeofmshaba.com/2011/03/yaliyotokea-arusha-katika-video.html


  NILIWEKA FULL STORY YAANI VIDEO ZOTE MBILI PARTY ONE NA PART TWO
  ZILE VURUGU ZA ARUSHA CHADEMA NA POLISI
  MIMI NILIPOST TAREHE 6/03/11 KWA SABABU BLOG YANGU IMEANZA 14/03/11
  HIVYO WAKATI WA TUKIO NILIKUA SIJAANZA SHUGHULI HII YA KUBLOG
  LAKINI LEO KUNA HII BLOG http://issamichuzi.blogspot.com/2011/03/yaliyosibu-arusha-na-kuplekea-vurugu.html

  IMERUSHA ILI TUKIO KWENYE BLOG YAO NA WAMEWEKA PART 2 WAMERUKA PART ONE

  NA KWENYE HIYO PART WALIYORUKA KUNA POLISI WALIKUWA WANAVUNJA GARI KWA MANENO MENGINE WANASHAMBULI GARI ILIYOSIMAMA NA DEREVA KUPIGA VIRUNGU HAKIWA NDANI YA GANI

  SASA HII NI NINI ? KWA NINI LEO? NA KWA NINI NUSU TUKIO?
  MIMI NIMESHA HAMU KULINYEA KAMA YEYE HAYUKO TAYARI KWANINI KUPOTOSHA WATU NI BORA KUHACHA KAMA BAADO KAZI YA NI BORA KULIKO WATANZANIA NA SISI WENYE MIOYO YA BABA WA TAIFA NYERERE TUKO TAYARI KUINYWA HIYO SIKI
  GAME HII YA SASA INAITAJI WATU MAKINI NA TEGEMEZI KAMA UNAKULA KWA KUTUMIA BLOG UTATUWIA RADHI KUNA MAISHA YA WATANZANIA YANAITAJI KUOKOLEWA KUTOKA KWA HAO TAI UNAOJARIBU KUWAFICHA BANDANI MWAKO


  MIMI NADHANI MWANA BLOG MWENZETU ANATUMIWA KUCHAKACHUA HABARI WATU WATAKAO IONA HIYO HABARI WATAJUA WAMEPATA FULL STORY KUMBE NI NUSU NA WAKIIONA MAHALI PENGINE WATAIRUKA WAKIDHANI NI MARUDIO NA HII ITAFICHA UOVU WA POLISI NA SERIKALI KWA UJUMLA

  UMEFIKA WAKATI KUPIGA VITA VYOMBO VYA HABARI KAMA HIVI WAZI WAZI, HUU NI UFISADI WA HABARI NA UBINAFISI ULIOPINGUKIA MI....ZI HAITENDEI HAKI JAMANI KWA KUWACHAGULIA HABARI ANAZOPENDA YEYE NINA HAKIKA ANAJUA KUNA PART MBILI MAANA HATA ALIYO POST IMEANDIKA PART TWO

  NINA OMBA SUPPORT KUANGAMIZA WATU KAMA HAWA KWENYE SOKO LA HABARI
  MIMI NINGEFURAHI KAMA NINGEONA TUNAFANYA JUHUDI KUIKOMBOA JAMII YETU SIO KUIANGAMIZA
  KWA KUPEWA VIJISENT AU KAMA AMENUNULIWA HASEME WATU TUJUI HIYO SIO TENA BLOG YA JAMII


  MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Ok lakini ulitegema michuzi angeitoa ilivyo wakati yupo kwenye system anayoitumikia?
   
 3. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi bora ange hacha maana ni tukio lililopita kuna
  maana gani kuweka habari nusu
  tatizo hapa sio kurusha habari
  tatizo ni kurusha habari nusu
  huu ni uchakachuaji
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu! Ok michuzi ni Blog ya CCM, lazma wachakachue ila tulishaziona zote na ukweli unajulikana, kaza buti kamanda
   
 5. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Na wewe unalalamika nini? mbona kila mtu ameshajua mambo yaliyotokea Arusha ??? Au ulikosa cha kuandika?? Kwanini usiende kuchangia kwenye post za wengine tuone mchango wako?? Na kwa ufupi heading yako haina mshiko kulingana na habari iliyoko ndani.

  Nimepita tu hapa... nitawacheki baadae, naelekea Jukwaa la Wakubwa.
   
 6. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi kanikera sana kwa kweli maana mimi ninafanya for my familia
  baada ya yale mabomu ya gongo la mboto sikuina sababu ya kukaa tena kimya
  najua yawezekana yeye anafanya hii kama biashara wale hasiweke kisingizio cha system ina mbana
  kama systema ina mbaya yeye halikua na option ya kuhachana na tukio na sio kuliweka nusu
  hisitoshe hata kama hasinge weka hakuna ambaye ange mlahumu
   
 7. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  uNAYOSEMA ni kweli lakini inategemea na mtoa habari, si unajua kila muwamba ngoma huvutia kwake. Kwa hiyo naye amepost hicho kitu kulingana na maslahi yake binafsi kama michuzi na si kwa watanzania.
   
 8. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe utakua michuzi
  kwa mahali niliko mimi hii ni kama habari mpya
  funga mdomo
  habari imeposhwa leo na michuzi
  kwa nini ?
  Husilitazame kwa mpango huo
  na yeye ni ccm ndio maana nimetumia hiyo heading
  hanatumiwa kutuchakachua
   
 9. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kapost habari nusu
  hilo ndio swala lenyewe
  wewe anajifanya blog ya jamii
  na kama utaanzania utaona kama mbunge alifanya fujo
  na ndio anataka kutuweka michuzi
  mimi nito kubali habari yote kufukiwa
   
 10. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Michuzi kimeo mbona!!! Tunajua sana tu.
   
 11. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hafai katika jamii anatukaanga na kutuchuza kwa sisiem
   
 12. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imi kanikera sana kwa kweli maana mimi ninafanya for my familia
  baada ya yale mabomu ya gongo la mboto sikuina sababu ya kukaa tena kimya
  najua yawezekana yeye anafanya hii kama biashara wale hasiweke kisingizio cha system ina mbana
  kama systema ina mbaya yeye halikua na option ya kuhachana na tukio na sio kuliweka nusu
  hisitoshe hata kama hasinge weka hakuna ambaye ange mlahumu
   
 13. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni bora basi hata Blog yake aiite Blog ya mafisadi na sio ya Jamii. Ni afadhali basi angeweka parts zote mbili badala ya kuweka nusu nusu kwa maslahi yake binafsi na ya mafisadi. Hiyo Blog nilishaacha kuiangalia toka wakati wa kampeni mwaka jana kwasababu jamaa yuko bias!! Ila ajue siku nguvu ya umma ikiamua kuondoa utawala huu uliooza na yeye sio tu atakuwa target bali atashughulikiwa vilivyo!!
   
 14. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ndio uzalendo kaka sio mtu anawapoteza wananchi watu tunanchekea eti mwamba ngoma
  mbona sisi tuvuta tupe umeme inakuwa ngumu umeme wanapewa mafisadi wa maeneo nyeti

  if you don't stand for something yuou fall for anything
   
 15. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ahsante mzalendo kwa kutufunua macho kuhusu Arusha wengi hatukujua unyama wa polisi wa Tanzania na pia ubabe wa chama cha mkwere kumtoa mbunge nje kwa lazima na kuchagua meya wanaemtaka.Kumbe wao ndio chanzo cha mauaji arusha na kauli ya Pinda imeonyesha kweli alidanganya bunge.Pili nakuomba ukiwa kama mwana blog jaribu kuandika kiswahili fasaha kwenye blog yako ili kukuza lugha yetu ya Taifa.
   
 16. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shukurani kaka mimi sio mzuri sana kaka kuandika ila mambo mengi kuiambie jamii yangu nitapigana kuliwezesha hlo
  lakini sito subilia mpaka ni na kishwahili fasaha ndugu wata maliza nchi hawa
  ila wazo lakini natembgea nali kwenye akili yangu
  natafuta kamusi kama mtu ana soft copy please anitoe
   
 17. S

  Songasonga Senior Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let's solve and move on ulalamishi ni upungu Wa utendaji....
   
 18. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umedesa nini kaka
  tunaongelea upotoshwaji wa habari sio ulalamikaji
  yeye andike chochote lakini sio kupotosha umama
  ili ccm waje kushinda kwa kuchakachua waseme watanzania bado
  hawajapata elimu
  mimi ningekua na furaha tena sana kama hangechukua habri nzima
  maana mimi blog yangu sio ya biashara ni muda wangu wa ziada kwenye simu nautumia kuwapasha habari
  wenzangu na mtu kama michuzi hatufai

  harafu kama mtu analalamika kwa kitu cha msingi wewe tatizo lako nini?
  au ndio ccm wameshakuambia kufa kisabu wewe umeshika hiyo tu
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  lile jamaa linaloitwa michuzi linanikera,..tokea nikiwa mdogo namsikia huyu jamaa,hastaafu huo ufisadi tu maana siku nyingi na upaparazi wake na magazeti ya chama..
   
 20. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #20
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kaka huyo serikalini huyo
  anatumia kodi zetu kutumaliza kwa kweli anatuuza kwa bei nafuu
  haondoe yeya kama ana hakika na anachofanya aondoe hilo neno
  blog ya jamani
  aweke blog ya michuzi au ccm aone kama kunamtu hatauliza
   
Loading...