Mbinu mpya kwa wenye nyumba ndogo

Hahahahahahaha...........I you dont trust yourself, no body will.......Nimeipenda hii Miss Judith
But be watchful..............
najua kuwa mtu mwongo hatoi taarifa, ila mie siyo type ya kudanganywa na tugari twa maafande, akili yangu ina makali ya kutisha, inakata kuliko wembe, kudanganyika mie sahau!
 
Yaani we acha tu uhuni sitaki tena.

Anaefuata ni wewe na mbinu zote unazifahamu.

Nilikutamani lakini sasa nakupenda na baada ya kufahamu ni wa mlimani sitachoka kungoja,nitafute nini na nimeshafika hapa au nami nifungue threads majukwa yote lol!

Hahahaha hujasikia kwamba wa mlimani hatufai??
 
Shida ya nini sasa kutafuta sababu za kudanganya na kula mambata ya polisi bure? Dawa ukimchoka acha zako nenda kahamie huko ule weee ukichoka tena unahama tena kwengine hivyo hivyo mpaka mwisho wako. Kujitia presha bure....
 
Ushauri mzuri......lol
Pumzika kufyatua hizo nanihii bwana.......................:plane:
 
Back
Top Bottom