Mbinu mpya kwa wenye nyumba ndogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu mpya kwa wenye nyumba ndogo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smarter, Jan 20, 2011.

 1. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Baada ya Kazi za siku nzima, Simon akaamua kupitia kwa Bi Mdogo (Nyumba ndogo);

  Kwa uchovu na aliyoyapata kwa bi dada huyo yalimfanya kusahau kurudi nyumbani kwake........................Asubuhi kashtuka katoka, akiw barabarani anawaza....achukue Tax, daladala? and aelekee wapi......Nyumbani?, Mihangaikoni?...............

  Ghafla akaona Defender (TZR) ya POLICE..........Wazo likamjia, akalipiga mkono, Bila Hiana Afande Marwa (Dereva) akasimama...........akasalimia kwa upole and akawauliza wakubwa mmeshapata chai ( Bado) akawaeleza anaomba msaada...................

  Mkewe kuona defender inapaki nnje ya mlango wake.....Full Presha...Mumewe kashushwa na mbata matata....................neno la kwanza mumewe kusema ni Mama Justin Tafadhali wape hawa jamaa elfu 30 haraka tafadhani.................mama watoto akakimbia ndani akatoa........................Ndio pole mumewake (yeye)................akamwekea maji ya kuoga.............................na akamuadithia alikamatwa uzurulaji akiwa anarudi home!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  haya wale wa infi!
   
 3. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahaha, nimekusoma mkuu. ila kama waif nae yupo JF imekula kwa mtu.
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kazi kweli kweli.
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :eyeroll1: Duuu, kila tatizo lina solution.....
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Do wewe umekuja na hili muda muafaka jana cjalala home, ngoja niwasake hawa jamaa na njaa zao watanipeleka tu!
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii niliitimia 2006 nilikutana na mpenzi wangu wa zamani alietoka kusoma majuu sasa katika kupiga stori/laga/kukumbushia ikawa saa 9 usiku nikaona isiwe taabu tukalala hoteli asubuhi nikamshusha kwao nikaenda o/bay police na kumchukua askari rafiki yangu tukaenda home nikashuka na kumwambia mpenzi niliekuwa naishinae kuwa nilikamatwa jana usiku wanahisi gari hili ni la wizi waliniweka ndani nimefata faili la gari wakathibitishe na askari huyu anahakikisha sitoroki.
   
 8. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80


  mwanawani hii si mchuzi kama si mchezo hebu na sie wanawake tupeni mbinu.
   
 9. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Upotoroto01; Kweli uliwaza
   
 10. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Mkuu , umeuza siri !
  sasa dada zetu wameijua!
   
 11. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na kweli tumesikia halafu mie niliwahi kufanyiwa kumbe ni usanii
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  good for him!
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uporoto umeharibika kweli!
   
 14. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yalikuwa mambo ya zamani hata mimi nikikumbuka nacheka wala usiogope mamii.
   
 15. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnh...:frusty::frusty:
   
 16. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  haya bwana, usanii mwingine ni wa kuchekesha tu watu hapa kuondoa mastress. but omba usikutane na Judith, mie niko level nyingine, sidanganyiki kirahisi hivyo
   
 17. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata mie mzee mzima nimezicheza sana hizo enzi zangu.
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah,yaan wala hutumi nguv kujieleza,hata ofsin inafaa
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naogopa wapiii?NAMUONEA HURUMA MTARAJIWA!
   
 20. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duh kuna siku jirani alirudi na polisi maskini mkewe kumbe njema ililala kona:A S 39:
   
Loading...