Mbinu Mbadala

Mbinu Mbadala

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
185133_458321437511765_1876370382_n.jpg
Hii yote ni kutokana na Burden of care
 
Mmmmh mimi sioni tatizo...kuna watoto ving'anganizi huwezi hata kufanya kitu nyumbani....hataki kuwekwa chini, yeye juu juu na yeye.

Saa nyingine mama hafanyi kwa ukatili bali majukumu mengi
 
Majukumu yakizidi ndio yanasababisha kubuni njia mbadala..... Bora huyu mtoto hapo yuko comfortable kiaina.. Kuna ile picha nyingine house girl kamfungia kwenye mti ..........
 
Back
Top Bottom