Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jun 13, 2012 #1 Hapa kama haupo makini na imara haja ndogo ya hewa ni nje nje...:laser:
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Jun 13, 2012 #2 Jamani na uzee wangu wote huu sijawahi kusikia kuwa kuna "haja ndogo ya hewa".
K Kassim Awadh JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 884 Reaction score 187 Jun 13, 2012 #3 mwaJ said: Jamani na uzee wangu wote huu sijawahi kusikia kuwa kuna "haja ndogo ya hewa". Click to expand... Mtu mzima gani kitoto cha juzi tu wewe,tena ndo nyie Lau Maha anasema hamjui "historia" ndo maana mwaichukia ccm
mwaJ said: Jamani na uzee wangu wote huu sijawahi kusikia kuwa kuna "haja ndogo ya hewa". Click to expand... Mtu mzima gani kitoto cha juzi tu wewe,tena ndo nyie Lau Maha anasema hamjui "historia" ndo maana mwaichukia ccm
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Jun 13, 2012 #4 Kassim Awadh said: Mtu mzima gani kitoto cha juzi tu wewe,tena ndo nyie Lau Maha anasema hamjui "historia" ndo maana mwaichukia ccm Click to expand... NIMEJIKUTA NACHEKA KAMA NIKO BAR VILE! HA HA HA HA HA! Asikuambie mtu, mie najua historia kuanzia ya "Safari za Vasco da Gama"! Huyo Lau mtoto mdogo saaanaa ndio maana hajui kwa nini hatuipendi ccm!
Kassim Awadh said: Mtu mzima gani kitoto cha juzi tu wewe,tena ndo nyie Lau Maha anasema hamjui "historia" ndo maana mwaichukia ccm Click to expand... NIMEJIKUTA NACHEKA KAMA NIKO BAR VILE! HA HA HA HA HA! Asikuambie mtu, mie najua historia kuanzia ya "Safari za Vasco da Gama"! Huyo Lau mtoto mdogo saaanaa ndio maana hajui kwa nini hatuipendi ccm!
awp JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 1,711 Reaction score 605 Jun 13, 2012 #5 nahisi anapata stimu kwa kunusa nanihii
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jun 14, 2012 Thread starter #6 Hii ni tafsida Dada MwaJ... mwaJ said: Jamani na uzee wangu wote huu sijawahi kusikia kuwa kuna "haja ndogo ya hewa". Click to expand...
Hii ni tafsida Dada MwaJ... mwaJ said: Jamani na uzee wangu wote huu sijawahi kusikia kuwa kuna "haja ndogo ya hewa". Click to expand...
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jun 15, 2012 Thread starter #7 Fikiria hawa jamaa nao wakilengwa na maadui risasi itafikia maeneo gani? Yataje sasa