kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,487
- 5,111
Kuna jambo ambalo kwa miaka ya karibun limekuwa linanisumbua kichwa jambo hili ni kukua na kuongezeka kwa chuki kat ya watu wa tanzania bara(tanganyika ya zamani) na watanzania wa zanzibar . Hii chukia ipo katika misingi ya kisiasa,kiuchumi na kidin pia.
Sasa hiv watu wa pande zote mbili ukiwauliza kila mtu ana majibu yake watakwambia muungano hauna umuhimu. Na hii hal tukiendelea kuacha ikue hakika itasababisha muungano huu uvunjike
Kuna kitu nawaza tunaweza kufanya na hii kaz inabid ifanywe na watu wa kaz Usalama wa Taifa hii mission sio ya wanasiasa . Na hii inabid iwe ni mpango wa muda mrefu ili kuweza kukamilisha dhana hii.
Nina wazo zur japo sijui kama ntaweza kuwakilisha vizur mawazo haya
TUNAWEZA KULINDA MUUNGANO KWA MTINDO HUU
tunaweza kutumia mfumo alio wahi kutumia mwalimu nyerere katika kupunguza udini na ukabila kwa kiwango kikubwa na kujenga umoja wa taifa
Kwanza watu wa usalama wao wanaweza kutengeneza mpango mzur na utaalamu wa juu ili kufanikisha hili
Kwanza ni kupunguza itikadi za kisiasa na kidin upande wa pemba
tunaweza kufanikisha hili kama serikal itajaribu kuweka mipango ya muda mrefu kwa kujenga na kupanua mashule kule pemba pamoja na kujenga au kupanua vyuo vikuu na kuweza kutoa watu kutoka bara kwenda pemba na kule waenda sana watoto wenye imani za kikristo ili kuweza kusoma na vile vile watu wa pemba kuja bara na hasa kupelekwa katika shule ambazo hazina itikad kal sana za dinii ile hali ya muingiliano ya wanafunz kwa miaka mingi itapunguza chuki na kujenga upendo na amani
Mfumo wa Ajira kuna haja ya serikal kuweka mfumo wa kuhamisha na kuunda mbinu nzur zenye kuweza kuhakikisha tunapunguza itikad za udin na ukabila visiwani humo . na huko pia wapelekwee wakristo wengi na kule ndugu zetu waislamu watolewe na kupewa ajira katika maeneo mengi ya wakristo huku bara ili hii michanganyiko tuweze kufanya waweze kuzaliana na kuoana. Tunaweza kuanza na sector ya ualimu
Kuhusu uchumi hapa tunaweza kuweka mipango mizur yenye kuboresha maslahi ya pande zote mbili na kuimarisha mambo ambayo yamekuwa ni kero muda mrefu
Kuweza kuwadhibiti na hata kutafuta njia sahihi za kudhibiti vyanzo vyote vya kusambaza siasa za chuki na udini
Najua wazee wa kaz wapi makin lakin hii inabid watafuta njia na mbinu ambazo zitafanyika kwa umakin na usiri mkubwa na kuwepo na kiapo kabisa kumaliza hizo mission .lengo na madhumun ni kuhakikisha tunalinda muungano. Hapa tunatakiwa kuchunguza kuanzia wasomi,wanasiasa, viongoz wa dini,wafanyabiashara na watu wowote wenye wenye ushawishi kama wataonekane ni kikwazo cha kuwa ni chanzo cha chuki na udin bila kujali nani . Ni lazima wadhibitiwe haswa
Tunaweza kuunda timu nzur ya watu wa proganda .wenye kusambaza na kuhubir mambo muhimu kuhusu muungano wetu
Yapo mambo mengi sana naweza kuongea ila mengine wacha ninyamazee hapa sio mahal sahhii
Ila tunapaswa kulinda huu muungano kwa faida ya sasa na vizaz vijavyo.
Jukumu letu sote kulinda hata kwa mbinu yoyote ila muungano daima udumu