Ndugu zangu mm nimesomea mambo ya Tehama(ict) sasa nimeamua kuandika business proposal nne ili nizi peleke kwenye makampuni tofauti je kwa mazingila ya nchi yetu
je
je
- wanaweza zipokea
- pia zinaweza badili maisha yangu na
- mwisho nifanye kitu gani kabla ya kuzipeleka