Serikali na CCM mmetuchoka?

Serikali na CCM mmetuchoka?

Milonji

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
171
Reaction score
524
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samaia Suluhu Hassan badala ya kukamata majizi yanayoibia Wananchi kupitia matumizi mabaya anaishia kusema "STUPID".

Sasa huku Wananchi tumeanza kupata shida kwa kuchangishwa michango tena kwa lazima kwa ajili ya Ujenzi wa Madarasa ya Shule.

Yaani jitu linaiba mamilioni ya fedha ya Serikali halafu bajeti isipotosha Wananchi wanaambiwa wachangie.

Hivi hii Serikali na CCM mmetuchoka Wananchi?

Halafu Mh. Mbunge badala ya kutetea Wananchi yeye kazi yake kupaka poda tu.

Yaani nalipa Kodi kupitia Mshahara, nalipa Kodi kwa Nunua bidhaa n.k ili kuleta maendeleo halafu anakuja mtu anasema ni lazima Kuchangia Ujenzi wa Darasa huku majizi ya Matrilioni ya pesa yanapeta tu Mtaani.

Hivi Serikali na CCM mmetuchoka Wananchi?

Naomba niweke Ujumbe huu kutoka Mkoa wa Dodoma, Wilaya ya Dodoma CC, Kata ya Chang'ombe.

Hebu Ndugu zangu jioneeni wenyewe meseji kupitia WhatsApp No. 0767 274 451, inasema;

[ TAARIFA MUHIMU
Habari za Majukumu, Naomba kueleza lengo la Mkutano wa jana 25/4/2023. Agenda ni moja tu . UJENZI WA VYUMBA 5 VYA MADARASA NA MATUNDU 3 YA VYOO SHULE YA MSINGI CHANG'OMBE

Serikal imetoa Milion 115 kwaajili ya ujenzi wa Vyumba vya madarasa Vitano 5 na matundu ya vyoo matatu 3 pomoja na kununua Madawati yote ya madarasa matano, viti na meza za walimu kwa kila darasa . Shule imezidiwa darasa moja lina wanafunzi wengi sana hali ambayo ni hatari sana .Fedha zikizoletwa hazitoshelezi kumalilisha kazi hiyo.

Hivyo basi Agizo la serikali ni kwamba sisi wananchi tunatakiwa tutoe michango yetu ya ( fedha, mchanga, kifusi, kokoto ,cement ) na kushirika katika kuchimba msingi.

Azimio kila mtaa tunatakiwa kuchangia Tsh 3,572,000/= Kwa mtaa wetu kila balozi anatakiwa kukusanya 397,000 hivyo basi kila kaya itawajibika kutoa kuanzia Tsh 2,500 (elfu mbili na mia tano na kuendelea) ili tar 30/06 / 2023 tukabidhi madarasa yaliyokamilika full na wanafunzi watumie.

Zoezi hili la mchango limeanza jana rasmi muone baloz wako mara upatapo ujumbe huu ili umkabidhi mchango wako au fika ofis ya mtaa kwa maelezo zaid.

Angalizo :
Mchango huu sio HIARI ni LAZIMA kwa kuwa ni mahali pa kupatia elimu watoto wetu na vizazi vyetu hata kama watoto wako hawasomi hapo.

__Asanteni na karibuni tuijenge_ chang'ombe kwa pamoja._]

Nime-copy na ku-paste.

Nawasilisha.
 
Halafu Mh. Mbunge badala ya kutetea Wananchi yeye kazi yake kupaka boda tu.

Yaani nalipa Kodi kupitia Mshahara, nalipa Kodi kwa Nunua bidhaa n.k ili kuleta maendeleo halafu anakuja mtu anasema ni lazima Kuchangia Ujenzi wa Darasa huku majizi ya Matrilioni ya pesa yanapeta tu Mtaani.

Hivi Serikali na CCM mmetuchoka Wananchi?

Naomba niweke Ujumbe huu kutoka Mkoa wa Dodoma, Wilaya ya Dodoma CC, Kata ya Chang'ombe.

Hebu Ndugu zangu jioneeni wenyewe;

Mama Kuna Mambo anazingua
 
Yala weeeeh yala weh inauma yala weee yalah wew inauma tunajikaza lakini bado inauma yalaaaah we yala. We inauma
Ndugu zangu 2024 tunaanza kuchagua wajumbe na wenyeviti tukaanzie hapa awa ndio wapanga safu ya wizi kwa viongozi wa juu twendeni tukafeke kuanzia hapa then 2025 tunadondosha mbuyu awa maandazi wametuzoea sasa
 
Mkuu Mkandamiza Vishimo, Hawa Jamaa wana PHD ya wizi.

2020 niliye mpigia kura yangu ilionekana kwenye Matokeo kapata 00.

Hii kitu bado inaniuma Hadi leo
 
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samaia Suluhu Hassan badala ya kukamata majizi yanayoibia Wananchi kupitia matumizi mabaya anaishia kusema "STUPID".

Sasa huku Wananchi tumeanza kupata shida kwa kuchangishwa michango tena kwa lazima kwa ajili ya Ujenzi wa Madarasa ya Shule.

Yaani jitu linaiba mamilioni ya fedha ya Serikali halafu bajeti isipotosha Wananchi wanaambiwa wachangie.

Hivi hii Serikali na CCM mmetuchoka Wananchi?

Halafu Mh. Mbunge badala ya kutetea Wananchi yeye kazi yake kupaka poda tu.

Yaani nalipa Kodi kupitia Mshahara, nalipa Kodi kwa Nunua bidhaa n.k ili kuleta maendeleo halafu anakuja mtu anasema ni lazima Kuchangia Ujenzi wa Darasa huku majizi ya Matrilioni ya pesa yanapeta tu Mtaani.

Hivi Serikali na CCM mmetuchoka Wananchi?

Naomba niweke Ujumbe huu kutoka Mkoa wa Dodoma, Wilaya ya Dodoma CC, Kata ya Chang'ombe.

Hebu Ndugu zangu jioneeni wenyewe meseji kupitia WhatsApp No. 0767 274 451, inasema;

[ TAARIFA MUHIMU
Habari za Majukumu, Naomba kueleza lengo la Mkutano wa jana 25/4/2023. Agenda ni moja tu . UJENZI WA VYUMBA 5 VYA MADARASA NA MATUNDU 3 YA VYOO SHULE YA MSINGI CHANG'OMBE

Serikal imetoa Milion 115 kwaajili ya ujenzi wa Vyumba vya madarasa Vitano 5 na matundu ya vyoo matatu 3 pomoja na kununua Madawati yote ya madarasa matano, viti na meza za walimu kwa kila darasa . Shule imezidiwa darasa moja lina wanafunzi wengi sana hali ambayo ni hatari sana .Fedha zikizoletwa hazitoshelezi kumalilisha kazi hiyo.

Hivyo basi Agizo la serikali ni kwamba sisi wananchi tunatakiwa tutoe michango yetu ya ( fedha, mchanga, kifusi, kokoto ,cement ) na kushirika katika kuchimba msingi.

Azimio kila mtaa tunatakiwa kuchangia Tsh 3,572,000/= Kwa mtaa wetu kila balozi anatakiwa kukusanya 397,000 hivyo basi kila kaya itawajibika kutoa kuanzia Tsh 2,500 (elfu mbili na mia tano na kuendelea) ili tar 30/06 / 2023 tukabidhi madarasa yaliyokamilika full na wanafunzi watumie.

Zoezi hili la mchango limeanza jana rasmi muone baloz wako mara upatapo ujumbe huu ili umkabidhi mchango wako au fika ofis ya mtaa kwa maelezo zaid.

Angalizo :
Mchango huu sio HIARI ni LAZIMA kwa kuwa ni mahali pa kupatia elimu watoto wetu na vizazi vyetu hata kama watoto wako hawasomi hapo.

__Asanteni na karibuni tuijenge_ chang'ombe kwa pamoja._]

Nime-copy na ku-paste.

Nawasilisha.
kwani pesa ya COVID iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom