Unalijua gubu wewe au unaongelea gubu uchwara.
Mwenye gubu anakufa na ww na hicho kibwana chako kipya.
mmmh kama nakujua ila any way ngoja nipite tu ila hilo neno la cheusi wangu huwa kuna mtu analipenda sana kulitamka kazini ila maybe wrong person nimefananishaBasi nimesha pata dawa ya cheusi wangu