Elisante Yona
Senior Member
- Oct 6, 2009
- 130
- 24
Pole sana Ndugu,
Yaani karne ya Ishirini na moja,bado unamawazo hasi kama hayo,nikusaidie kidogo,Mfumo dume umepitwa na wakati,siku hizi ni kusaidiana,pia nina wasiwasi wewe sio mwanandoa,na pengine Uchumi wako ni wa chini sana,maana kuna familia baba ana gari lake,mama na yeye pia ana lake,hadi watoto,fanya tafiti kabla ya kuleta hoja Mkuu,wewe ni mzoefu hapa,Kama wewe ni mwanandoa unasubiri upelekewe maji bafuni labda ni nyumba za uswahili,lakini kuna watu tu bafuni una press(unabonyeza)unachagua unahitaji maji ya moto au baridi.Neno la Mungu lina tuagiza kuwa PENDA wake zetu na sio kutafuta mbinu za kuwatawala.Wewe lazima utafute na wanaharakati wa jinsia(TGNP)Ninawasilisha.