Hayo yaliyomo humo hayajibu hayo maswali yangu mkuu halafu wengi hua hamkielewi huchi kitabu vuzuri nikipita wasaa nitakichambua...Soma UFUNUO WA YOHANA 21:1--27.
Mwanadamu unaweza ukachunguza kila kitu lakini akili za Mungu hazichunguziki.Wacha kudumaza ubongo hakuna kitu kisicho wezekana ukiweka nia thabiti...
Samahani eee wakikwambia unishtue ni wapi mbinguni kwa BabaSalute comrades,
Wakuu, naomba kufahamishwa, Mbinguni anapoishi Mungu ni wapi?
Ukisoma Biblia, Katekisimu etc zinasema Mungu yupo Mbinguni na mahali pote duniani. Je Mbinguni ni wapi?
Ni kule juu angani kwenye mawingu? Qur'an inasema zipo Mbingu saba na Mungu anaishi Mbingu ya saba, je Mbingu hiyo iko sehemu gani?
Pia tunaambiwa Nimrod na wenzie walijenga mnara ulikua unakaribia kufika Mbinguni kwa Mungu, je huko Mbinguni ni kule juu angani?
Kama Mbinguni ni huko juu angani mbona sasa hivi kuna vifaa mbalimbali ambavyo vinapita huko angani kwenda sayari zingine?
Mbona Mungu hayazuii kama alivyowazuia kujenga mnara wa Babeli sababu wanapita huko angani inaposadikika ndio Mbinguni.
Da'Vinci
So inawezekana ata ni koromije ee sema hatujui tuu eeMwanadamu unaweza ukachunguza kila kitu lakini akili za Mungu hazichunguziki.
Ina maana wewe huna nia thabiti mbona hujaweza hayo maswali?. Acha kujifanya unaelewa kila kitu lkn Mungu hachunguziki....ok sasa wote hawataweza kujibu hayo maswali yako juu ya uchokonozi kwa Mungu sijui ndio utasema wote hatuna nia thabiti au dumedumaza ubongo?Wacha kudumaza ubongo hakuna kitu kisicho wezekana ukiweka nia thabiti...
Kweli kabisaMJUKUU WANGU MASWALI MENGINE NI YA KITAALAMU MNO.KUNA MASWALI MENGINE HUWA TUNAYAITA maswali ya milele HAYANA MAJIBU YA KUELEWEKA.
MAda yangu haileng kumchunguza Mungu bali mbinguIna maana wewe huna nia thabiti mbona hujaweza hayo maswali?. Acha kujifanya unaelewa kila kitu lkn Mungu hachunguziki....ok sasa wote hawataweza kujibu hayo maswali yako juu ya uchokonozi kwa Mungu sijui ndio utasema wote hatuna nia thabiti au dumedumaza ubongo?