Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,930
- 51,039
All those are spritual not material, kwasbb masuali ni mengi kuhusu utaratibu mzima......Kwa imani mbingu IPO. Lakini mbingu ni jambo lililojaa utata mtupu.
Mbinguni tunakwenda baada tu ya kufa ama tutakwenda baada ya ufufuo siku ya kiama. Na jee tutakwenda na miili yetu hii au tutapewa miili mipya?
Hivi mtaa wa jehanam nao upo mbinguni ama jehanam tunakutana nayo wapi? Na Jehanamu Kuna kutembeleana kama Ahera (Paradiso)?
Wanaokatazwa hapa duniani kunywa pombe (Waislam) huko mbinguni wamewekewa mito inayotiririsha pombe.
Lakini wanaoruhusiwa kunywa pombe (wakatoliki) hapa duniani wanaambiwa mbinguni hakuna kula wala kunywa. Hivyo wasiokunywa pombe wanafurahia mbinguni watakuta mito ya pombe, na wanaokunywa wanakunywa kwa bidii maana mbinguni hakuna pombe.
Wanaooa wake zaidi ya mmoja (Waislam)hapa duniani wameambiwa mbinguni watakuta mabikra 72 wanawasubiria na bikra zao zitakazokuwa zinajirudia kila baada ya tendo.
Wasiooa (wakatoliki) wanaambiwa mbinguni hakutakuwa na kuuoa wala kuolewa. Duniani bila mke na mbinguni hakuna mke pia.
Kazi ipo!
Huwa nasema kila siku lugha ime imedge after thousands of years watu walivyoanza kugundua vitu na socialization sasa swali huwa linarudi palepale mfano kingereza kimezaliwa wajerumani walivyoanza kukutana na watu wa Britain. Hii ina maana ghani lugha imeweza kuelezea hisia, matukio, Imani na vitu na hadi sasa lugha zinaendelea kukua kutokana na ugunduzi wa vitu.Hakuna cha mbingu wala nini anayebisha aweke picha ya pale getini tuone geti ni la rangi gani
"Spiritually" na siyo "materially" lakini maelezo si ya hizo dini? Kwa ivo lazima kama maelezo yao yanahitaji ufafanuzi basi wautoe huo ufafanuzi.All those are spritual not material, kwasbb masuali ni mengi kuhusu utaratibu mzima......
Aisee!!Hapa unapoishi leo ndio paradiso mkuu.
Hakuna mahali kwenye Bible kuweandikwa utaded na kwenda paranenga bali kumeandikwa utaishi paranenga
Ukitaka kuamini unaishi paradiso anza kuwa mkweli katika maisha kwa 100%.
Thamini hata kile kidogo ulichonacho.
Shukuru kwa kila jambo.
utashangaa maisha yako yanavyobadilika na kuwa mazuri kupitiliza.
Ukiona unapata mateso jua upo jehanam.
View: https://youtube.com/shorts/gwedm6VU2mw?si=PRB4BnsXb1abkzE2